Stellenbosch umewajua juzi na ni Timu ya juzijuzi tu.Huo uhodari unaowapa ndiyo hasa unakuonesha ulivyo karunguyeye.Unapima maji yaliyotulia kwa kuzamisha mguu utakufa
Hutaki utakandwa unataka utakandwa weqe ropoka ila kukandwa kupo palepale ya juzi sasa ya juzi ndio itakayokukandaStellenbosch umewajua juzi na ni Timu ya juzijuzi tu.Huo uhodari unaowapa ndiyo hasa unakuonesha ulivyo karunguyeye.
Hivi,umerudi kwenye kichwa cha uzi wako?Hutaki Simba wafunge Stellenbosch magoli matatu.Sasa unapendekeza wawafunge mangapi ili limoyo lako litakate we chura?Hahaha hatoboi Simba hatoboi nakwambia hatoboi hata kidogo
Ok mkuu tusubiri maana hata saa mbovu kuna siku hupatia muda.Hahaha hatoboi Simba hatoboi nakwambia hatoboi hata kidogo
Ana wenge-mchanyato huyo.Muhurumie.Ok mkuu tusubiri maana hata saa mbovu kuna siku hupatia muda.
HahahaAna wenge-mchanyato huyo.Muhurumie.
Timu imetulia halafu kimbwenerehi mmoja umekuja kutoa utabiri feki!Aymel hakukosea.Yaan hata gemu haijaanza ushaanza kukandwa nje ya uwanja
Unadhani kitendo cha Simba kuendelea kimataifa ni nani ameumia sana kati ya Al-Masry na utopolo?Waangalie machoni wanapochachamaza misuli ya shingo kubishia jambo kuhusu Simba ndiyo utajua ni sonona kiasi gani inawatesa.Waangalie tu.Hahaha
Timu haifungwi kwa maneno yako tu.Simba inajitafutia(siyo kujitafuta)wajinga iwaking'onte makwenzi.Wewe rukaruka wee ila kukandwa kupo palepale
Wewe kabla gemu haijaanza nakuona kabisa ushakandwa usifike uwanjani siku hio usije ukaangukaUnadhani kitendo cha Simba kuendelea kimataifa ni nani ameumia sana kati ya Al-Masry na utopolo?Waangalie machoni wanapochachamaza misuli ya shingo kubishia jambo kuhusu Simba ndiyo utajua ni sonona kiasi gani inawatesa.Waangalie tu.
Wana hali mbaya mno. Sasa hivi ukikutana na shabiki wa Yanga usizungumzie mpira.Unadhani kitendo cha Simba kuendelea kimataifa ni nani ameumia sana kati ya Al-Masry na utopolo?Waangalie machoni wanapochachamaza misuli ya shingo kubishia jambo kuhusu Simba ndiyo utajua ni sonona kiasi gani inawatesa.Waangalie tu.
Usijaribu mkuu.Atakuvurumishia hata vipande vya matofali akuvunje magego halafu akimbilie polisi huku anabweka kwamba wewe umemchokoza na kumtonesha.Wana hali mbaya mno. Sasa hivi ukikutana na shabiki wa Yanga usizungumzie mpira.