Ahadi ya kitoto sema tukupakue wewe au mkeoNdio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stollenbosch.
Tarehe 27.04.2025 ni rematch Simba anaenda tena kunyolewa nyumbani kwa Stollenbosch najua Simba anaenda kufa 3 kavu.
Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stollenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stollenbosch Simba hana.
HahahaAhadi ya kitoto sema tukupakue wewe au mkeo
Si useme tukupakue afu ujiweke open ili yakitimia tufanye kweliUwezo huo hamna
Si una washwa washwa. Juz ulikoswa moja tu sasa tuachane na adhabu za banKwani ndio michezo yenu hio
Simba ni timu kubwaMnachekelea siku hio mtalia
AfricaKubwa kwenye nini
Tukupita tuje kukugongea mkeo..?Mpaka ufungwe ndio akili zinakurudia hii hamchomoki lazima mfe goli za kutosha
Simba yashika nafasi ya 4 kwa ubora barani AFRICA baada ya kumchapa mwarabu na kutinga nusu fainali 😎Ndio unavyojidanganya unakimbia kukandwa unasema kubwa
4.Wewe ndio mnachokiwaza tu hapo makoloni sio kingine ndio maana nakwambia mnachezea