Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

Huwa mnasema ujinga huu halafu majibu yakiwa kinyume hatuoni mkipigwa ban, sijui huwa mnawaza nini wakati mpira unadunda
 
Tumechoka na ahadi hizo,tuwekee marinda yako au mkeo ndio tutaamini upo serious
 
Halafu wewe jamaa tumekupigania juzi hapa baada ya kupigwa BAN, leo unakuja tena kuomba kitu kile kile! Aisee Active, siku hiyo simba ikishinda hata goli moja tu, mpigeni huyu mwamba hata BAN ya wiki mbili hivi ili kufidia magepu.
 
Huwa mnasema ujinga huu halafu majibu yakiwa kinyume hatuoni mkipigwa ban, sijui huwa mnawaza nini wakati mpira unadunda
Majibu yakiwa kinyume kumbe unaelewa kinyume nyume Fc
 
Halafu wewe jamaa tumekupigania juzi hapa baada ya kupigwa BAN, leo unakuja tena kuomba kitu kile kile! Aisee Active, siku hiyo simba ikishinda hata goli moja tu, mpigeni huyu mwamba hata BAN ya wiki mbili hivi ili kufidia magepu.
Nimesema 3-0 sio 1
 
wacha tuone👿 muda ni jibu la kila kitu
 
Kwani Simba anataka kumfunga goli 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…