Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

Sijui itakuwaje huko mbeleni ila FAM atatangaza kugombea na atashinda. Labda Lissu atahamia ACT baada ya hapo.

Bila shaka chadema Itakuwa CUF ya Lipumba.



Kokote Lissu atakakuwa, wabangaizaji tutakuwa naye!
 
Hapo kwenye kuing'oa sisiem madarakani ndipo uongo, ulaghai na unafiki wa Mbowe unapoanzia. Na tukishinda nafasi ya uenyekiti tutamshughulikia kwa mujibu wa sheria na kanuni za chama na nchi.
 
Bado tu tarehe aijafika?
KAZI ni kipimo cha UTU
 

Atakuwa alikuwa anapima upepo:

 
Ingawa ujaweza kuniaminisha UKWELI wa hii taarifa ,lakini niseme , huu ndio UAMUZI SAHIHI kwa Mzee wetu Mbowe...MABADILIKO NI SASA!
 
Umeingia jikoni kabisa Mkuu kesho nchi ITASIMAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…