Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1. Lakini uhalisia ni Yanga 3 : Simba 1.
Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko paleeee!
Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko paleeee!