Yaani umeandika kama unabakwa. Umeandika tu hisia zako bila kusema sababuKwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa...
Hana ubavu wa kumfunga YANGA
Akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1
Lakini uhalisia ni Yanga 3 : Simba 1
Simba akifanikiwa kumfunga YANGA...!! Niko paleeee
Nadhani tumeelewana sasa
Kwa mpira mliocheza leo mkisaidiwa na kayoko heri kwenuNadhani tumeelewana sasa
Ntake radhi sasaYaani umeandika kama unabakwa. Umeandika tu hisia zako bila kusema sababu
ππππ Mmejitahidi kutoa sare na mshiriki wa club bingwaNtake radhi sasa
Niko pale agiza Pepsi baridi kwa mangi nakuja lipa.Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1. Lakini uhalisia ni Yanga 3 : Simba 1.
Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko paleeee!
[emoji3]Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1. Lakini uhalisia ni Yanga 3 : Simba 1.
Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko paleeee!