Hivi kwanini huwa mnapenda kuhoji maswali kama haya kila mwaka🙄🙄🙄🙄 ifike mahala acheni tu coz haitawasaidia chochote kama huusiki kaa kimya tu pambana na imani yako tu hivi huumii kichwa kuhoji kitu ambacho hakitabadilika kamwe😂😂🤣🤣 hovyoo!!!