Hivi kwanini huwa mnapenda kuhoji maswali kama haya kila mwakaππππ ifike mahala acheni tu coz haitawasaidia chochote kama huusiki kaa kimya tu pambana na imani yako tu hivi huumii kichwa kuhoji kitu ambacho hakitabadilika kamweπππ€£π€£ hovyoo!!!