K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Jan 24, 2023 #1 Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
R RCMM Senior Member Joined Sep 13, 2022 Posts 120 Reaction score 316 Jan 24, 2023 #2 Ndio si wametengeneza wenyewe hivyo wanajua expire date ya kirusi na pia hesabu za kuwapiga watu chapa ya mnyama imeenda vizuri.
Ndio si wametengeneza wenyewe hivyo wanajua expire date ya kirusi na pia hesabu za kuwapiga watu chapa ya mnyama imeenda vizuri.
M MWIJA 08 Member Joined Jun 29, 2022 Posts 44 Reaction score 59 Jan 24, 2023 #3 Caanan said: Ndio si wametengeneza wenyewe hivyo wanajua expire date ya kirusi na pia hesabu za kuwapiga watu chapa ya mnyama imeenda vizuri. Click to expand... Chapa ya mnyama ndo nini kaka?
Caanan said: Ndio si wametengeneza wenyewe hivyo wanajua expire date ya kirusi na pia hesabu za kuwapiga watu chapa ya mnyama imeenda vizuri. Click to expand... Chapa ya mnyama ndo nini kaka?
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Jan 24, 2023 #4 Sijui watatuletea ugonjwa gani tena Mungu atuepushe
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Jan 24, 2023 Thread starter #5 Carrasco putin said: Sijui watatuletea ugonjwa gani tena Mungu atuepushe Click to expand... Macho & masikio yote yawaelekee WEF kwani kwa sasa tabiri zao zimekuwa sio tabiri tena bali ahadi
Carrasco putin said: Sijui watatuletea ugonjwa gani tena Mungu atuepushe Click to expand... Macho & masikio yote yawaelekee WEF kwani kwa sasa tabiri zao zimekuwa sio tabiri tena bali ahadi
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 24, 2023 #6 MWIJA 08 said: Chapa ya mnyama ndo nini kaka? Click to expand... Anamaanisha Pfizer, JJ, Moderna, Sinopharm, Sinovac, Gamaleya n.k
MWIJA 08 said: Chapa ya mnyama ndo nini kaka? Click to expand... Anamaanisha Pfizer, JJ, Moderna, Sinopharm, Sinovac, Gamaleya n.k