Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chapa ya mnyama ndo nini kaka?Ndio si wametengeneza wenyewe hivyo wanajua expire date ya kirusi na pia hesabu za kuwapiga watu chapa ya mnyama imeenda vizuri.
Macho & masikio yote yawaelekee WEF kwani kwa sasa tabiri zao zimekuwa sio tabiri tena bali ahadiSijui watatuletea ugonjwa gani tena Mungu atuepushe
Chapa ya mnyama ndo nini kaka?