Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ni sarakasi za Watunga kesiMashaidi wa siri inakuaje?wanajficha sehemu hapo court then inatokea sauti tu kwenye vispika wakitoa ushaidi au?mbona sijawai ona mimi au mi bush lawyer
Na atatoka kweliSamia kila akilala anaota Lissu anamtoa kwenye kiti cha urithi
Nadhani ndio mashahidi wa siriNini mantiki ya hawa polisi kuvaa mask zinazoficha uso?
Tafusiri yake ni kwamba wakitendacho ni kinyume cha katiba,tamaduni,haki za binadamu na hata kijamii hivyo bila kuficha nyuso zao HAWATA WEZA KUFANYA DHULUMA kwani siyo dhamira yao bali wanaagizwa licha ya kua hawapendi,NJAA HAIFAI.Nini mantiki ya hawa polisi kuvaa mask zinazoficha uso?
Watalia na kusaga meno
Wanaona aibu, wafanyeje kwani wamelazimishwa.Nini mantiki ya hawa polisi kuvaa mask zinazoficha uso?
Hadi mabodigadi wa marais siku hizi wanapiga mask za kininja usoni.. sijui nini mantiki yake haswa?Nadhani ndio mashahidi wa siri
Wanajua ukweli . Saa100 hakuna kitu paleNini mantiki ya hawa polisi kuvaa mask zinazoficha uso?
Sitaki hata kuwaza kwamba inawezekana: Hao mashahidi wa SIRI wakiwa ni akina MBOWE je? Akina Mchungaji Msigwa; WENJE au hata Akina Halima Mdee; n.k., n.k..Ni sarakasi za Watunga kesi
Kazi waliyopewa inalawama.Nini mantiki ya hawa polisi kuvaa mask zinazoficha uso?