Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Wakatili wote huvaa maski kuficha sura zao, ukiona hivyo ujue nchi imeingia kwenye hatua mbaya sana kiusalama.Hadi mabodigadi wa marais siku hizi wanapiga mask za kininja usoni.. sijui nini mantiki yake haswa?