Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani.
Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri.
Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya Maktaba Sauti kutoka playstore ili kusikiliza na kusoma vitabu zaidi vilivyotafsiriwa.