Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu, Unakumbuka nini siku hiyo?

Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu, Unakumbuka nini siku hiyo?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Leo ni mwaka mmoja kamili tangu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ufanyike. Unakumbuka nini katika uchaguzi huu?

A1619B84-B366-4AE6-B614-037BF40C09C1.jpeg
 
Nakumbuka kuchelewa kwenda kupiga kura nikihofia wingi wa watu matokeo yake nilipofika kituoni hapakua na watu kabisa.

Hii hali ikiendelea siku zijazo tutakabiliwa na tatizo kubwa sana la wapiga kura.
 
Nakumbuka walivyochezea hela za walipa kodi huku wakijua hakuna uchaguzi wowote ni kuteuana tu.
 
Nakumbuka kuna madiwani na wabunge walipita kwa fogging ila Rais alipita kwa uhalali
 
Back
Top Bottom