chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
Mwaka gani hio siku km ya leo?Stasahau siku kama ya Leo
SanaKitambo aisee kweli Arsenal ni ileilee [emoji16]
Yani acha usinikumbushe machungu mkuuMwaka gani hio siku km ya leo?
Mwaka gani 1902?ile ile New castle ilikau ina watu kweli kweli juzi nimemuona shora ameobi na Hatim ben arfa wakiojiwa wamekua ma father kweli kweli kama hawajawah kuwa wachezaji mpira
Nenda Gogle waulize shola ameobi alicheza New castle mwaka gani utapa majibuMwaka gani 1902?
Wewe Andika Mwaka hata wewe ni Google algorithm inayotype kwenye keyboard,Nenda Gogle waulize shola ameobi alicheza New castle mwaka gani utapa majibu
Msimu ambao City anabeba ubigwa siku ya mwisho Mbele ya United kwa Goli la Aguero Ndio Msimu ambao New castle anachomoa Goli 4 kwa Arsenal kwa kusaidia madunduka ni 2011/12Wewe Andika Mwaka hata wewe ni Google algorithm inayotype kwenye keyboard,
Kipindi nipo zangu Pori huko nalima pambaMsimu ambao City anabeba ubigwa siku ya mwisho Mbele ya United kwa Goli la Aguero Ndio Msimu ambao New castle anachomoa Goli 4 kwa Arsenal kwa kusaidia madunduka ni 2011/12
Hawa jamaa wasingechomoa kabisa zile bao 4 maana nakumbuka baada ya aseno kuongoza bao 4 kwa bila diaby akala umeme hapo ndio cha moto walipokionaMsimu ambao City anabeba ubigwa siku ya mwisho Mbele ya United kwa Goli la Aguero Ndio Msimu ambao New castle anachomoa Goli 4 kwa Arsenal kwa kusaidia madunduka ni 2011/12
hapo juu ni Andre Ashavin kutoka Ukraine ?Stasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano
Ajabu ni kuwa dk ya 68 Newcastle wanaingiza Mpira nyavuni, dk 75 Newcastle wanaweka gori la pili dk ya 83 Newcastle anaweka la tatu na dk ya 90 za nyongeza mwamba mwenye shingo ya mafuta tiote anashoot mita hamsini mpaka golini na kutupia gori la nne daaah!!! Nililia sana na mm nilikuwa mshabiki wa arsenal kindaki ndani [emoji24][emoji24][emoji24]
Game ikaisha 4-4 was one of greatest comeback in history haijawahi kutokea
RIP Tiote mwamba kutoka ivory coast [emoji1374]
View attachment 2865958View attachment 2865959View attachment 2865961
Hivi hiyo game ilipigwa mwaka/msimu gani?Stasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano
Ajabu ni kuwa dk ya 68 Newcastle wanaingiza Mpira nyavuni, dk 75 Newcastle wanaweka gori la pili dk ya 83 Newcastle anaweka la tatu na dk ya 90 za nyongeza mwamba mwenye shingo ya mafuta tiote anashoot mita hamsini mpaka golini na kutupia gori la nne daaah!!! Nililia sana na mm nilikuwa mshabiki wa arsenal kindaki ndani [emoji24][emoji24][emoji24]
Game ikaisha 4-4 was one of greatest comeback in history haijawahi kutokea
RIP Tiote mwamba kutoka ivory coast [emoji1374]
View attachment 2865958View attachment 2865959View attachment 2865961
Duh kumbe kitamboMsimu ambao City anabeba ubigwa siku ya mwisho Mbele ya United kwa Goli la Aguero Ndio Msimu ambao New castle anachomoa Goli 4 kwa Arsenal kwa kusaidia madunduka ni 2011/12
Cheki Tiote RIP naikumbuka vizur hii game jamaa aliachia mkwaju Mwenge na Morroco kitu nyavuniStasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano
Ajabu ni kuwa dk ya 68 Newcastle wanaingiza Mpira nyavuni, dk 75 Newcastle wanaweka gori la pili dk ya 83 Newcastle anaweka la tatu na dk ya 90 za nyongeza mwamba mwenye shingo ya mafuta tiote anashoot mita hamsini mpaka golini na kutupia gori la nne daaah!!! Nililia sana na mm nilikuwa mshabiki wa arsenal kindaki ndani [emoji24][emoji24][emoji24]
Game ikaisha 4-4 was one of greatest comeback in history haijawahi kutokea
RIP Tiote mwamba kutoka ivory coast [emoji1374]
View attachment 2865958View attachment 2865959View attachment 2865961
Ni Mrusi huyohapo juu ni Andre Ashavin kutoka Ukraine ?