Tarehe kama ya Leo Newcastle wanafanya comeback dhidi ya Arsenal Kwa goli nne

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2023
Posts
539
Reaction score
1,507
Stasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano

Ajabu ni kuwa dk ya 68 Newcastle wanaingiza Mpira nyavuni, dk 75 Newcastle wanaweka gori la pili dk ya 83 Newcastle anaweka la tatu na dk ya 90 za nyongeza mwamba mwenye shingo ya mafuta tiote anashoot mita hamsini mpaka golini na kutupia gori la nne daaah!!! Nililia sana na mm nilikuwa mshabiki wa arsenal kindaki ndani [emoji24][emoji24][emoji24]
Game ikaisha 4-4 was one of greatest comeback in history haijawahi kutokea

RIP Tiote mwamba kutoka ivory coast [emoji1374]

Screenshot_20240109-091724.jpg
Screenshot_20240109-091714.jpg
Screenshot_20240109-092642.jpg
 
ile ile New castle ilikau ina watu kweli kweli juzi nimemuona shora ameobi na Hatim ben arfa wakiojiwa wamekua ma father kweli kweli kama hawajawah kuwa wachezaji mpira
 
Msimu ambao City anabeba ubigwa siku ya mwisho Mbele ya United kwa Goli la Aguero Ndio Msimu ambao New castle anachomoa Goli 4 kwa Arsenal kwa kusaidia madunduka ni 2011/12
Hawa jamaa wasingechomoa kabisa zile bao 4 maana nakumbuka baada ya aseno kuongoza bao 4 kwa bila diaby akala umeme hapo ndio cha moto walipokiona

Hii game newcastle walipata penati mbili moja ya kubebwa kabisa ile ila kilichonifurahisha mpigaji wa izo penati mtukutu joe burton alizipiga kidharau sana
 
Stasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano

Ajabu ni kuwa dk ya 68 Newcastle wanaingiza Mpira nyavuni, dk 75 Newcastle wanaweka gori la pili dk ya 83 Newcastle anaweka la tatu na dk ya 90 za nyongeza mwamba mwenye shingo ya mafuta tiote anashoot mita hamsini mpaka golini na kutupia gori la nne daaah!!! Nililia sana na mm nilikuwa mshabiki wa arsenal kindaki ndani [emoji24][emoji24][emoji24]
Game ikaisha 4-4 was one of greatest comeback in history haijawahi kutokea

RIP Tiote mwamba kutoka ivory coast [emoji1374]

View attachment 2865958View attachment 2865959View attachment 2865961
hapo juu ni Andre Ashavin kutoka Ukraine ?
 
Hivi hiyo game ilipigwa mwaka/msimu gani?
 
Cheki Tiote RIP naikumbuka vizur hii game jamaa aliachia mkwaju Mwenge na Morroco kitu nyavuni
 
Back
Top Bottom