chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
Stasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano
Ajabu ni kuwa dk ya 68 Newcastle wanaingiza Mpira nyavuni, dk 75 Newcastle wanaweka gori la pili dk ya 83 Newcastle anaweka la tatu na dk ya 90 za nyongeza mwamba mwenye shingo ya mafuta tiote anashoot mita hamsini mpaka golini na kutupia gori la nne daaah!!! Nililia sana na mm nilikuwa mshabiki wa arsenal kindaki ndani [emoji24][emoji24][emoji24]
Game ikaisha 4-4 was one of greatest comeback in history haijawahi kutokea
RIP Tiote mwamba kutoka ivory coast [emoji1374]