Siku hii niliota Magufuli anadondoka kutoka ghorofani, lakini kitu cha kushangaza akafika anasimama!Tarehe kama ya leo 25.10.2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha
Mnakumbuka?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ndio hiyo.
View attachment 910048
Habari ndiyo hiyoHata sina uhakika kama kura yangu ilihesabiwa kulingana na matakwa yangu.
Mkuu umezaliwa siku kharamu kabisa.!Alafu ilifanyika siku ya kuzaliwa kwangu
KabisaNi siku ambayo taifa lilipata jabari la MABADILIKO. Kaza buti jpm.Wanataka MABADILIKO lkn hawataki KUBADILIKA.
Tapeli mwenyeweWavivu Na Matapeli wanapata Tabu Sana
Mungu tusamehe kwa makosa ya kutokujua tuliyoyafanya tarehe 25/10/2015. Haya yalikuwa ni maamuzi ya kijinga yenye hasara kwa sasa na kizazi chetu. Matokeo ya uamuzi wetu yameifanya kaya yetu kuwa kambi ya chuki, vitisho, kutekwa, kupotezwa, kuminya demokrasia, kusigina katiba na mambo mengi ya hovyo hovyo. Tunaishi kama wakimbizi vile.Kabisa
HakikaMungu tusamehe kwa makosa ya kutokujua tuliyoyafanya tarehe 25/10/2015. Haya yalikuwa ni maamuzi ya kijinga yenye hasara kwa sasa na kizazi chetu. Matokeo ya uamuzi wetu yameifanya kaya yetu kuwa kambi ya chuki, vitisho, kutekwa, kupotezwa, kuminya demokrasia, kusigina katiba na mambo mengi ya hovyo hovyo. Tunaishi kama wakimbizi vile.
KwaniniNa ilaaniwe siku ile.
Tarehe kama ya leo tulifanya maamuzi ya kidemokrasia kama taifa katika uchaguzi mkuu na kupata serikali iliyoko madarakani sasa. Je wewe mdau wa maendeleo ya taifa lako unasemaje, unatembea kifua mbele na kujipongeza kwa uchaguzi wako kwa kutumia kura yako ama unajutia kwa kupeleka kura yako ulikoipiga,
Andru chyenge..Ndiyo tulimtoa fisadi kwenye ramani ya siasa
Ni mimi mwenye vijisenti vyake ughaibuniAndru chyenge..
Ni wewe au
Tarehe kama ya leo tulifanya maamuzi ya kidemokrasia kama taifa katika uchaguzi mkuu na kupata serikali iliyoko madarakani sasa. Je wewe mdau wa maendeleo ya taifa lako unasemaje, unatembea kifua mbele na kujipongeza kwa uchaguzi wako kwa kutumia kura yako ama unajutia kwa kupeleka kura yako ulikoipiga,
Hili ni jina tu la jamvini ama ni wewe mkuu ili tukupe heshima yako, tutambue uwepo wako humu,Ndiyo tulimtoa fisadi kwenye ramani ya siasa
Ni mimi mwenye vijisenti vyake ughaibuni
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hata sina uhakika kama kura yangu ilihesabiwa kulingana na matakwa yangu.