Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Hivi kwanini tulifanya haya maamuzi ya hovyo tarehe 25/10/2015 ya kumpa madaraka huyu Chatu wa Chato?
 
Nikitembea kifua mbele niliyomchagua tarehe kama ya leo anakifumua...wacha nitulie ndani...!! Anasema uongozi ni mzigo ila 2020 atakuja kuomba kula na kura tens
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
SADAM HUSEIN NI RAIS WA KUWAIT
 
Why ufurahie au ujutie? Maana anayefurahia anafaidika na anayejutia hafaidiki na kuna ambao yote ni sawa tu kwao maana hakuna lililopungua au kuongezeka. Kwa watumishi nidhamu imerudi kazini na wanalipwa mshahara on time lazima wafurahi ingawa nyongeza ya mshahara huenda bado. Kwa wafanyabiashara lazima “wafurahi” maana hawawezi tena kukwepa kodi. Kwa upinzani nao lazima “wafurahi” maana hawatumii hela nyingi kupiga siasa majukwaani kila siku mikoa yote na pia hawaumizwi sana maana hakuna maandamano kwa minajili hiyo hawasumbuliwi na vizuizi vya polisi. Kwa wasiofanya kazi lazima nao “wafurahi” maana asiyefanya kazi na asile.
 
Asanta mkapa, Nape, January, Kikwete, Libuva, IGP Mangu...
nia yenu ndio imelifikisha taifa hili hapa..
Hapa ambapo yametimia maana hapa ndipo ambapo ukipita mtaani wanasaga meno kwani yule alishasema nikiishika watatembea kwa meno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…