Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Umenikumbusha kale kachumba na Ile mstari mrefu tuliopanga toka asubuhi. Wengine hata kanisani hatukwenda aisee
 
Chadema acheni unafiki ninyi mlichagua Fisadi Lowasa
 
Miaka mitatu baadae
24bfc5677978cf1f8c42274648856da7.jpeg
 
Bwanaa bwanaa tulibinya binya nyanya tukanunua bilinganya. Nakumbuka mbali sana.
 
Miaka mitatu sasa ni vurugu kila mahali, halafu mwenyewe anaamini anajenga nchi...mauaji, vitisho, utekaji, watu kupotea,upendeleo, ukabila, ukanda, watu kunyang'anywa na kuharibiwa biashara zao na unyanyasaji uliokithiri na unaohamasishwa na Rais mwenyewe, ifike mahali tumkatalie huyu Jiwe!
IMG_20181026_094721.jpg

IMG_20181026_094726.jpg
 
Watanzania wanalia leo na kujilaumu laiti kama wangejua wasingepiga kura
Watanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.
 
Kwa mafisadi ,wachawi ,wapiga dili ,wauza madawa ya kulevya wa Ufipa nchi imevurugika kwelikweli .

Mtanyooka tu na ikifika 2025 tunaandamana aongezewe muda was kukaa madarakani
 
Back
Top Bottom