Hivi ni kwanini aliomba hii nafasi? Ina maana alikuwa anakumis kuumiza watu akawa anakosa fursa ya kufanya hivyo? Shida ya kuwapa madaraka wakimbizi toka nchi jirani ndio hii.Asanta mkapa, Nape, January, Kikwete, Libuva, IGP Mangu...
nia yenu ndio imelifikisha taifa hili hapa..
Hapa ambapo yametimia maana hapa ndipo ambapo ukipita mtaani wanasaga meno kwani yule alishasema nikiishika watatembea kwa meno..