thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Ni kweliKuna kitu tuliibiwa?
Mbona Chenge alibaki tena mkampa eti "Mwenyekiti wa maadili", labda mlimaanisha mwenyekiti wa madili.Ndiyo tulimtoa fisadi kwenye ramani ya siasa
Mimi Nina maadili sanaMbona Chenge alibaki tena mkampa eti "Mwenyekiti wa maadili", labda mlimaanisha mwenyekiti wa madili.
Moderator mpe huyu point 30, kakumbuka mbali sana.Tarehe kama ya leo 25.10.2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha
Mnakumbuka?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ndio hiyo.
View attachment 910048
Wapo wananjaa midomo inanuka yani wanadhiki mpaka sehem za siri yan bin taabaniTarehe kama ya leo 25.10.2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha
Mnakumbuka?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ndio hiyo.
View attachment 910048
Watanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.Watanzania wanalia leo na kujilaumu laiti kama wangejua wasingepiga kura
Umetumia kigezo gani kusema" tulio wengi?". Labda wewe na betri zako za tiger zilizoanza kuvuja.Watanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.