Umetumia kigezo gani kusema" tulio wengi?". Labda wewe na betri zako za tiger zilizoanza kuvuja.
Hebu muulize mumeo kama anamkubaliWatanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.
Si mna tume, polisi, ma RC, DC? Mtaachaje kushinda?Kama auamini Mungu atujaalie uhai tushuhudie 2020.
Kamuulize Mama yako, atakwambia bila kuvaa t shirt yenyepicha yake hapati usingizi.Hebu muulize mumeo kama anamkubali
Safi mama yaani ktk siku umewahi nifurahisha ni Leo ..wengi wanadhani tulimchagua hapana huyo aliwekwa na tume na dora ila kwa kuwa sisi hatuna siraha yoyote wala jeshi lolote tungefanyaje sasa wangetupiga na mabomu ya machozi na vifaru vyote wanavyo wao.Wengi hatukumpigia kura huyu ni rais wa tume na jaji.
JPM ata iwekwe picha yaketu na asipige kampeni , watanzania wamesha mkubali.Si mna tume, polisi, ma RC, DC? Mtaachaje kushinda?
Huo utafiti uliufanya wapi na lini??kama umeandika hivyo kujifariji haina shida,lakini kama unajenga hoja then njoo na takwimu hata sampuli tuu!!!nakuhakikishia hutoamini macho yakoWatanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.
Wewe push up zimekunufaisha nini taifa la wajinga ninyi??Watanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.
Wana lumumba ndo wamemkubali. Alaf jamaa alisema amechoka urais na alisukumizwa sasa tunamuomba ikifika 2020 hasigombee tenaJPM ata iwekwe picha yaketu na asipige kampeni , watanzania wamesha mkubali.
JPM haitaji takwimu wala sampuli kinacho hitajika uwenaakili timamu tu, Ukijua Tanzania ilipotoka inatosha .Huo utafiti uliufanya wapi na lini??kama umeandika hivyo kujifariji haina shida,lakini kama unajenga hoja then njoo na takwimu hata sampuli tuu!!!nakuhakikishia hutoamini macho yako
wee zwazwa ongelea 2025??? jiulize 2020 kama lumumba wameisoma namba na wanahaja gani tena kuendelea na maumivu ya JIWE?Kwa mafisadi ,wachawi ,wapiga dili ,wauza madawa ya kulevya wa Ufipa nchi imevurugika kwelikweli .
Mtanyooka tu na ikifika 2025 tunaandamana aongezewe muda was kukaa madarakani
Hakika mnafanana majina bila shaka ata tabia zinaendanaNasubiri 25/10/2020..nikiwa hai kura yangu ni kwa JPM ANATOSHA. .
ASANTE SANA MUNGU ENDELEA KUTUBARIKI..MBARIKI RAISI WETU
Jisemee wewe na Nafsi yako usiseme na Nafsi zetu.HIYO NI TAREHE TULIOMCHAGUA SHUJAA WETU MPENDWA WETU YULE ANAEPENDA UKWELI ANAE KOMESHA UFISADI NAE NI RAIS JOHN POMBE MAKUFULI MUNGU AMPE AFYA NA AENDELEE KUTUONGOZA KWA UMRI WOTE MPAKA KIELEWEKE
Andika kwa herufi kubwa Mkuu...Chadema acheni unafiki ninyi mlichagua Fisadi Lowasa