Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Achana na hao wezi wa kura soma hapa upoteze mawazo huku tukisubiria 2020 tumtoe kwa nguvu arudi kwao Chato

ENZI ZA SHULE[emoji1804][emoji1806]

Unatoka Chumba Cha Mtihanii Wa Hesabu Unakuta Wale Wataalamu Wa Namba Wanabishana Mmoja Anasema jibu lilikuwa ni 3 Mwingine Anasema Jibu ni -3 Wakati Huo Wewe Umepata 49,854/=_
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

```Hapo Ndo Utajua Kwa nini Mtu akigonga Hodi CHOONI akiambiwa karibu ANAONDOKA``` .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2909][emoji2909][emoji2909][emoji2909][emoji2909][emoji2909][emoji2909]
 
Wengi hatukumpigia kura huyu ni rais wa tume na jaji.
Safi mama yaani ktk siku umewahi nifurahisha ni Leo ..wengi wanadhani tulimchagua hapana huyo aliwekwa na tume na dora ila kwa kuwa sisi hatuna siraha yoyote wala jeshi lolote tungefanyaje sasa wangetupiga na mabomu ya machozi na vifaru vyote wanavyo wao.
 
Watanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.
Huo utafiti uliufanya wapi na lini??kama umeandika hivyo kujifariji haina shida,lakini kama unajenga hoja then njoo na takwimu hata sampuli tuu!!!nakuhakikishia hutoamini macho yako
 
Watanzania tuliowengi tunataka aendelee kuongoza nchihii, ila wezi wachache hawatatuzuia kuendelea kumpanafasi ya kuongoza.
Wewe push up zimekunufaisha nini taifa la wajinga ninyi??
 
JPM ata iwekwe picha yaketu na asipige kampeni , watanzania wamesha mkubali.
Wana lumumba ndo wamemkubali. Alaf jamaa alisema amechoka urais na alisukumizwa sasa tunamuomba ikifika 2020 hasigombee tena
 
Huo utafiti uliufanya wapi na lini??kama umeandika hivyo kujifariji haina shida,lakini kama unajenga hoja then njoo na takwimu hata sampuli tuu!!!nakuhakikishia hutoamini macho yako
JPM haitaji takwimu wala sampuli kinacho hitajika uwenaakili timamu tu, Ukijua Tanzania ilipotoka inatosha .
 
Kwa mafisadi ,wachawi ,wapiga dili ,wauza madawa ya kulevya wa Ufipa nchi imevurugika kwelikweli .

Mtanyooka tu na ikifika 2025 tunaandamana aongezewe muda was kukaa madarakani
wee zwazwa ongelea 2025??? jiulize 2020 kama lumumba wameisoma namba na wanahaja gani tena kuendelea na maumivu ya JIWE?
 
Siku mbaya sana hii lakini ni nzuri sana kwa kina dab na kampuni yake
 
HIYO NI TAREHE TULIOMCHAGUA SHUJAA WETU MPENDWA WETU YULE ANAEPENDA UKWELI ANAE KOMESHA UFISADI NAE NI RAIS JOHN POMBE MAKUFULI MUNGU AMPE AFYA NA AENDELEE KUTUONGOZA KWA UMRI WOTE MPAKA KIELEWEKE
 
Nasubiri 25/10/2020..nikiwa hai kura yangu ni kwa JPM ANATOSHA. .
ASANTE SANA MUNGU ENDELEA KUTUBARIKI..MBARIKI RAISI WETU
 
HIYO NI TAREHE TULIOMCHAGUA SHUJAA WETU MPENDWA WETU YULE ANAEPENDA UKWELI ANAE KOMESHA UFISADI NAE NI RAIS JOHN POMBE MAKUFULI MUNGU AMPE AFYA NA AENDELEE KUTUONGOZA KWA UMRI WOTE MPAKA KIELEWEKE
Jisemee wewe na Nafsi yako usiseme na Nafsi zetu.
 
Back
Top Bottom