Utetezi mapemaaaa. Tusubiri yatakayojiriHahahaaa. Haujawahi tetemeka mkono wangu aiseee.
Sababu kikawaida Mtani najua mpira una matokea matatu hivyo kwa hali yeyote ile nitakuja tu labda mtandao usumbue. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa na moyo huohuo mkuu wakuhurumia wenye matatizo a. k. a [emoji196] [emoji196]Yaani namhurumia
Usiwe na mashaka mkuu [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Inaonekana wewe ni mmoja wa wale wang'oa viti. Nakuona vile kesho utaenda na matokeo mfukoni
Hahahaaa. Huruma inakujaje sasa hapo jamaani Mtani. πππYaani namhurumia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yanga wasepa na kijijiHii ndo hali itakavyokuwa hapo Kesho kwenye vibanda umiza baada ya Simba kumrarua Yanga...Washabiki wa Yanga wasepa[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 881599
Hahahaaaa. Jibu gani hilo Mtani? πππMmhh eti labda mtandao usumbue tayari nimeshapata jibu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mie nataka ata iwe sasa.Ni kweli sio mbali ila sidhani kama nyie mnatamani ifike au uwongo mtani[emoji12] [emoji12] [emoji12]
πππππNaona unasoma historia ya marehemu kazana mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ndio kawaida yao hawa watani zetu na hatutashangaa yakijirudia ya mwaka ule watu kuvunja viti wakidai wanaonewa. Teh teh teh.Inaonekana wewe ni mmoja wa wale wang'oa viti. Nakuona vile kesho utaenda na matokeo mfukoni
ππππ kinyume chake Mtani ni pale Uwanja utakapobaki mweupe upande wenu saa hiyo Yanga anaongoza halafu na dk zimeyoyoma.Hii ndo hali itakavyokuwa hapo Kesho kwenye vibanda umiza baada ya Simba kumrarua Yanga...Washabiki wa Yanga wasepa[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 881599
Kwamba baada ya mechi kuisha utasingizia mtandao [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaaaa. Jibu gani hilo Mtani? [emoji12][emoji12][emoji12]
Kesho mida kama hii jibu litakua limepatikanaHahahaaa. Naomba hili swali nikuulize mie bana. [emoji12][emoji12][emoji12]
Halafu hujanitag vizuri Mtani. Ndio maana nimechewa kuona.
Hahahaa. Hamna banaa.Kwamba baada ya mechi kuisha utasingizia mtandao [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaa ila haya maneno hayatoki moyoni mtani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie nataka ata iwe sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wenye kucheka tunacheka na wenye kununa / kulia mnalia Mtani. ππππKesho mida kama hii jibu litakua limepatikana
Naona nilikutag kabisa ile comment yako ya mwanzo hata sujui imekuaje
Hahahaa. Yanatoka wapi sa Mtani?Hahahaaaa ila haya maneno hayatoki moyoni mtani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapenzi yangu yote yapo Msimbazi ,hata ukipasua moyo wangu ni wekundu tu !!!Simba!! Simba!! Simba!!Yaani wenye kucheka tunacheka na wenye kununa / kulia mnalia Mtani. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Itakuwa hukutanguliza hii kitu @ ukiweka hiyo na kuandika ndio napata ujumbe.
Hivi ulikosaga timu ya kushangilia na weyee? [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]