Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Aaaah yaani Hajar unaunga mkono juhudi za udanganyifu? Ama kweli hamkubali kushindwa.[emoji3][emoji3][emoji3]

Tukutane kwa Mchina..This Is Simba
Hahahaaa. Hivyo Mtani na huu wako uliouandika sio ukweli si eti eee?
 
hahahaa sio kwamba tunajifariji bali tunaongelea ule uhalisia wenyewe au unasemaje mwanayanga [emoji196] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uzuri Mtani kesho sio mbali ujue.

Hapo ndio tutaandikia wino na sio mate tena. 😂😂😂😂
 
Mapemaaaaaaa
😂😂😂😂 Nimecheka kwa sauti.

Game za Simba na Yanga aziongozwagi na kelele mjue maana kwa mawazo mliyonayo kichwani watani zangu sijui kama Viti vya kwa Mchina vitapona.

Maaaaweeeeeeeeee. 😜😜😜😜
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti.

Game za Simba na Yanga aziongozwagi na kelele mjue maana kwa mawazo mliyonayo kichwani watani zangu sijui kama Viti vya kwa Mchina vitapona.

Maaaaweeeeeeeeee. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Gongowazi kesho mtajuta mtani
 
Mtajuta gongouchi fc
FB_IMG_1538023229327.jpeg
 
Ila usiwe na wasiwasi bwana hatutamifunga nyingi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaa. Mtani unadhani kumfunga Yanga nyingi ni kazi rahisi eee?

Ingekuwa kazi rahisi msimu uliopita raundi ya kwanza kwa jinsi tulivyokuwa wabovu pale ndio angalau mngefunga hizo nyingi ila mkaambulia sare tena ya goli lililokombolewa ndani ya muda mfupi kabisa.

Cha zaidi mkamfanya Tshishimbi akang'ara kuliko kawaida.

Huku narudia kukuita ni kujifariji Mtani wangu. 😂😂😂😂😂😂
 
Hahahaaaa. Mtani unadhani kumfunga Yanga nyingi ni kazi rahisi eee?

Ingekuwa kazi rahisi msimu uliopita raundi ya kwanza kwa jinsi tulivyokuwa wabovu pale ndio angalau mngefunga hizo nyingi ila mkaambulia sare tena ya goli lililokombolewa ndani ya muda mfupi kabisa.

Cha zaidi mkamfanya Tshishimbi akang'ara kuliko kawaida.

Huku narudia kukuita ni kujifariji Mtani wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaa kwamba tunajifariji sio duuh inatisha na kufurahisha laiti mngejuaa..............
 
Back
Top Bottom