Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo haliwezi kutokea wasubiri tu kipondo [emoji23] [emoji23]Wanatamani mechi iahirishwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mtacheza na nani? Maana sisi ndio tunawapa jeuri ya kujifanya mnajua soka.Wanatamani mechi iahirishwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wanajiandaa kiakili hao maana yajayo kwa upande wao yanatisha SIMBA NI [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Haa ha ha ha ha ha. Mtageuza sana historia, lakini ukweli upo pale pale
ThisIsSimba
Kakimbia pambanoVile vile kunaitwa kubadili gia angani... Thi Is Simba...
hahahaa sio kwamba tunajifariji bali tunaongelea ule uhalisia wenyewe au unasemaje mwanayanga [emoji196] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona watani zangu mnafarijiana.
aretasludovick , Ghazwat , Sapta Sapta na we naniliu kuku mweus kesho pia muwe na nguvu hizi hizi.
MapemaaaaaaaNaona watani zangu mnafarijiana.
aretasludovick , Ghazwat , Sapta Sapta na we naniliu kuku mweus kesho pia muwe na nguvu hizi hizi.
Uzuri Mtani kesho sio mbali ujue.hahahaa sio kwamba tunajifariji bali tunaongelea ule uhalisia wenyewe au unasemaje mwanayanga [emoji196] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😂😂😂😂 Nimecheka kwa sauti.Mapemaaaaaaa
Gongowazi kesho mtajuta mtani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti.
Game za Simba na Yanga aziongozwagi na kelele mjue maana kwa mawazo mliyonayo kichwani watani zangu sijui kama Viti vya kwa Mchina vitapona.
Maaaaweeeeeeeeee. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ila usiwe na wasiwasi bwana hatutamifunga nyingi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Uzuri Mtani kesho sio mbali ujue.
Hapo ndio tutaandikia wino na sio mate tena. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mtie moyo mtani wetu asijekuumwa akakosa kushuhudia hat-trick ya kagere [emoji23] [emoji23]Gongowazi kesho mtajuta mtani
Hahahaaaa. Mtani unadhani kumfunga Yanga nyingi ni kazi rahisi eee?Ila usiwe na wasiwasi bwana hatutamifunga nyingi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Isije kuwa kinyume tu Mtani.Gongowazi kesho mtajuta mtani
Hahahahaaaa. Naanzaje kuumwa Hajar Mieee kisa Simba. Duuh.Mkuu mtie moyo mtani wetu asijekuumwa akakosa kushuhudia hat-trick ya kagere [emoji23] [emoji23]
hahahahaa kwamba tunajifariji sio duuh inatisha na kufurahisha laiti mngejuaa..............Hahahaaaa. Mtani unadhani kumfunga Yanga nyingi ni kazi rahisi eee?
Ingekuwa kazi rahisi msimu uliopita raundi ya kwanza kwa jinsi tulivyokuwa wabovu pale ndio angalau mngefunga hizo nyingi ila mkaambulia sare tena ya goli lililokombolewa ndani ya muda mfupi kabisa.
Cha zaidi mkamfanya Tshishimbi akang'ara kuliko kawaida.
Huku narudia kukuita ni kujifariji Mtani wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]