GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
zingatia yafuatayo
i) mbegu za mtoto wa kike huishi muda mfupi kuliko za mtoto wa kiume
ii) mbegu za mtoto wa kike zina kasi kuliko za mtoto wa kiume
kwa hiyo mwanaume akifanya mapenzi mara kwa mara inamaana sha**wa
zitokazo zitakuwe nyepesi hivyo itawezesha mbegu zenye kasi (za mtoto wa kike)
kufikia target kabla za kiume matokeo ni kupata bebi gel
mwanaume asipofanya mara kwa mara sh***wa huwa nzito hivyo huchukua muda
kufikia target na kwa vile mbegu za mtoto wa kike huishi muda mfupi zita-expire njiani
na slow swimmer (mbegu za mtoto wa kiume) zitafika target salama na matokeo bebi boi
lakini yote haya yawezekana iwapo mambo mengine yako sawa, hivyo usiache kumuomba
mola wako akusaidie kurekebisha hayo mambo
Hapo umeenda kinyume kwa uelewa wangu.
1. Mbegu za mtoto wa kike huishi muda mrefu zaidi kuliko za mtoto wa kiume
2. Mbegu za mtoto wa kiume ndizo zenye kazi zaidi kuliko za mtoto wa kike
Narekebisha maelezo yakokama ifuatavyo:
((((((((((((((kwa hiyo mwanaume akifanya mapenzi mara kwa mara inamaana sha**wa
zitokazo zitakuwe nyepesi hivyo itawezesha mbegu zenye kasi (za mtoto wa kiume)
kufikia target kabla za kike matokeo ni kupata bebi boy
mwanaume asipofanya mara kwa mara sh***wa huwa nzito hivyo huchukua muda
kufikia target na kwa vile mbegu za mtoto wa kiume huishi muda mfupi zita-expire njiani
na slow swimmer (mbegu za mtoto wa kike) zitafika target salama na matokeo bebi gel
lakini yote haya yawezekana iwapo mambo mengine yako sawa, hivyo usiache kumuomba
mola wako akusaidie kurekebisha hayo mambo )))))))))))
Kama siko sahihi wataalamu wafafanue zaidi.