Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Wende pole.
1. Naona ni kama wewe na mwenzako hampo pamoja muda mwingi. Na huenda ule muda ambao haupo ni mzuri kwa mimba.
2. Kuchoka, kutapika, kukosa hamu ya kula etc yaweza kuwa dalili ya mimba, lakini pia magonjwa mengine yanaweza kuwa na dalili hizo.
3. Malaria yaweza kuwa na dalili hizo na pia unaweza pata majibu negative ukienda maabara and still malaria ipo.
4. kipimo cha mimba ikiwa changa waweza pima mkojo hospitali au nyumbani ukielekezwa kama hukufanya basi huwezi kusema kama hizo safari mbili alipopata dalili hizo alikuwa mjamzito.
5. MP cycle fluctuates japo normal hutegemea ya mtu na mtu, ya mkeo umesema ni 30days, but can shorten or become prolonged depending na factors mbalimbali kama, change of whether, stress yoyote( kazi, shule, maisha etc)
6. We kuwa na mtoto mwingine haqkumaanishi kuwa huwezi kuwa na tatizo (simaanishi lipo)
Bwana wende nenda na mwenzio mkamuone daktari wa kinamama aliye karibu nawewe.
nenda nae LOLIYONDO
Sigma ameongea yote.
Fata ushauri wake.
kAMA mchangiaji wa mwanzo alivyosema, si wakati wote mwanamke ana uwezo wa kupata mimba, ni siku chache sana ambazo anaweza kupata mimba. Sasa kama mkikutana siku ambazo si za mimba obvious hawezi kupata. Mwambie mkeo anapotaka kuja afanye uchunguzi kwa muda kama wa miezi miwili kwenye sehemu zake za siri. Kwa kawaida wanawake huwa tuna kawaida ya kutoka ute (mucus) wa aina mbalimbali katika mzunguko wa mwezi. Baada ya hedhi tu, sehemu za uke huwa zinakuwa kavu kabisa ambapo hakuna ute unaotoka kule na huu si wakati wa kupata mimba.
baada ya ukavu ute unaofatia unanata na huu pia si wa uzazi ingawa wakati mwingine inaweza kutokea,
Ute ambao unaambatana na uzazi ni ule unaoteleza (unavutika) ni mweupe kama sehemu ya ute wa yai, kwa hiyo mara aonapo ute wa aina huo ndo muda muafaka wa kupata ujauzito. Lakini sasa inategemea pia na mbegu zako wewe kama ni nzima na zina nguvu. Hii ndo njia sahihi ya kupata mtoto.
Mwambie mkeo ategee hizi siku, nadhani Mungu atasaidia tu. Haf kwa nini usimuache mkeo amalize shule? huoni kwamba itamsababishia shida fulani na pengine mambo yanaweza kwenda vibaya hasa performance kuwa siyo nzuri? Manake kulea mtoto na shule ni kazi. Vyote vinahitaji kwa wakati mmoja na vyote vina umuhimu.
Kila raheli. Pia mshirikishe na Mungu katika hitaji lenu, maana yeye ni yote katika yote.
. Hivi kuna uhusiano wowote wa mitindo ya kufanya mapenzi (sex position) na upatikanaji wa mimba endapo tendo hilo limefanywa katika kipindi muafaka?
kuna watu wamekupa ushauri mzuri sana..........lakini kwa maelezo yako mimi nimekuelewa lakini kuna kitu kimoja .......
mkeo ana matatizo ktk kizaz chake........mpeleke hosp mapema mkuu wangu........
Mkuu mamakunda, BOM ni ngumu kidogo kui-observe esp for laymen kama sisi.
Wende bado bwana mdogo(I guess), hashindwi kupiga kazi daily mwezi mzima, mwaka mzima (of course kuna mapumziko during MP). Inabidi mechi za ugenini asitishen ofkoz.
Kasema mkewe hawakai pamoja muda mwingi, hawa hawana shida yoyote wasiwasi tu wa wakwe zao ndo zinawapa stress. Wakitulia utashangaa mapacha na kubemenda juu.
Pole Bw. Wende. Mimi nina swali kwa wataalam labda jibu lake linaweza kukusaidia na wewe pia. Hivi kuna uhusiano wowote wa mitindo ya kufanya mapenzi (sex position) na upatikanaji wa mimba endapo tendo hilo limefanywa katika kipindi muafaka?
Rafiki yangu alikutwa na tatizo hilo pia
Daktari alimpa ushauri kuwa mke wake alikuwa na uke mdogo baina ya kuingilia na mtoto anapokaa, wakati wa kujamiiana asiwe anapeleka sana ndani hiyo humpa matatizo mke na huaribu mimba pia, na anapohisi kuwa mimba inawezekana imeingia awe anapumzika sana asiwe mtu wa harakati
huo ushauri tu sio utaalamu, zaidi muone Doc atakueleza zaidi
Nadhani ni mapema mno kutaka na kukata tamaa, Experience inajulisha wazi kuwa mimba hazipangwi hapo n kutokea kazaneni ukipita muda tena tutawapitia anuani za wataalamu wa mambo hayo mkawaone lakini kwa sasa mko too abitious
kAMA mchangiaji wa mwanzo alivyosema, si wakati wote mwanamke ana uwezo wa kupata mimba, ni siku chache sana ambazo anaweza kupata mimba. Sasa kama mkikutana siku ambazo si za mimba obvious hawezi kupata. Mwambie mkeo anapotaka kuja afanye uchunguzi kwa muda kama wa miezi miwili kwenye sehemu zake za siri. Kwa kawaida wanawake huwa tuna kawaida ya kutoka ute (mucus) wa aina mbalimbali katika mzunguko wa mwezi. Baada ya hedhi tu, sehemu za uke huwa zinakuwa kavu kabisa ambapo hakuna ute unaotoka kule na huu si wakati wa kupata mimba.
baada ya ukavu ute unaofatia unanata na huu pia si wa uzazi ingawa wakati mwingine inaweza kutokea,
Ute ambao unaambatana na uzazi ni ule unaoteleza (unavutika) ni mweupe kama sehemu ya ute wa yai, kwa hiyo mara aonapo ute wa aina huo ndo muda muafaka wa kupata ujauzito. Lakini sasa inategemea pia na mbegu zako wewe kama ni nzima na zina nguvu. Hii ndo njia sahihi ya kupata mtoto.
Mwambie mkeo ategee hizi siku, nadhani Mungu atasaidia tu. Haf kwa nini usimuache mkeo amalize shule? huoni kwamba itamsababishia shida fulani na pengine mambo yanaweza kwenda vibaya hasa performance kuwa siyo nzuri? Manake kulea mtoto na shule ni kazi. Vyote vinahitaji kwa wakati mmoja na vyote vina umuhimu.
Kila raheli. Pia mshirikishe na Mungu katika hitaji lenu, maana yeye ni yote katika yote.
Wana jf wenzangu naomba mnifahamishe ni siku gani mwanamke anaweza kupata mimba,siku ya ngapi baada ya kutoka kwenye period?