Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Jaribu kudu siku ya 13,14,15 na 16 toka ulipoanza MP, yaani kama umenza MP tarehe 14 March basi du kuanzia 26,27,28 na 29, ingawa huwa ni siku ya 14 but kutokana na mabadiliko mabadiliko just try hapo natumaini utapata matokeo

Actuall, akianzia siku ya 11, 12, 13, 14 na 15 zinatosha. Peak always assumed to be day 13. Take care, this is an estimated average, exceptions are bound to occur to some people and you may be one of them.
 

Of course I know what I'm talking about and that is why I said sperm instead of semen.

And I know enough about male and female infertility, from retrogade ejaculation, varicocele, azoospermia, endometriosis and the rest of it. So my friend I think I know what I'm talking about!!!!!
 
mnh huyo Via Mobile anavyofefea kny hii thread??? kama jambo hulijui kwa undani si ukae kimya tu???
 

Najua hayo yote yapo na mengine nimewahi kuyasikia au kuyashuhudia. katika maisha, nyanja zote tunaanza kwanza na population-based facts, then tunaconsider individual differences. Ndiyo maana hata dawa wakisema inatibu kwa asilimia 94 inamaanisha katika watu 100 kuna 6 hawatapona, na hauwezi kuwajua.

Sasa issue kama hiyo hauwezi kuitumia kupanga mipango. Hizo ni exceptions, idiosyncrasies and rare events ambazo ni vema kujua zipo lakini hauwezi kuzi-factor kwenye mipango yako isipokuwa kama tayari unajua kuwa unahusika nazo. In most cases, the biological or scientific explanation of such events is obscure, missing or scanty, so how can you anticipate them?
 

I appreciate that my friend, and knowing all that you are still convinced sperms will be produced in a matter of hours to enable fertile ejaculation every round 24/7/31?
 

Provided the man's sperms are potent and the woman is fertile, all that is needed is regularity.

So potency and fertility are the be-all and end-all of conception. When you have to resort to using ovulation tests to figure when you are most fertile to conceive then something might be wrong somewhere. And after a year of trying with no success then it may be time for you to pay a visit to a urologist.
 
I appreciate that my friend, and knowing all that you are still convinced sperms will be produced in a matter of hours to enable fertile ejaculation every round 24/7/31?

Absolutely! Refer to my post above. Some people's sperm is so potent that it doesn't matter when they last ejaculated. Now couple super strong sperm with a fertile woman, what you get is a baby on the way.
 
Never thought of fertilization before ovulation, fertility and all considered.
 
Absolutely! Refer to my post above. Some people's sperm is so potent that it doesn't matter when they last ejaculated. Now couple super strong sperm with a fertile woman, what you get is a baby on the way.

Here you also need to qualify the use of 'some'...what proportion of today's population falls under this 'some' category? and the super-strong sperm category as well. Mind you, the asker did not tell us about belonging in this category you are using as your prototype, probably hajui.
 

That was just a continuation of my and yours' back and forth.

As to what proportion of the population falls under that 'some' category, well, that my friend is difficult to quantify.
 
That was just a continuation of my and yours' back and forth.

As to what proportion of the population falls under that 'some' category, well, that my friend is difficult to quantify.

Eventually, we will have to come to an agreement that fertilization can not take place without ovulation, unless the 'lucky' sperm travels all the way through the fallopian tube to fertilize the ovum in the ovary (joking). The problem that we mutually agree to is that there is no uniform date for ovulation to occur and even within some people it is not regular cycle after cycle and this makes it difficult to properly predict the days when conception is likely. It is probably here where you based your theory of every other day. But why every other day and not say every day or every other day from day 10 to day 20 (day one being when the menses begin)? I believe this is likely to take care of all the irregularities in menstrual and ovulation cycles in the largest proportional justifiable statistically. if you are proposing for the couple to do it all month long, then for pleasure, assuming the man is rijali as you pointed out, and the woman is equally interested, willing, accommodating and strong, then no problem.
 

After this summation I don't even see where we disagree.

You agree that there are irregularities that make it difficult to predict conception with clockwork precision.

You know where I got my proposition to copulate every other day. Why not everyday? Heck, they can do it thrice a day if they want to. Who the hell cares, do you?

And nowhere did I say fertilization takes place without ovulation. Or did I?
 
Sasa we Via Mobile na mwenzio ndio nini hivyo??
Badala yakuweka mambo vizuri hapa nasisi tunaotaka kujifunza tujue,
Mnaleta mambo yenu ya much know hapa.
Khaaaaaaaaa, wengine hata kingereza hatukijui sa ndo mnatusaidia je bana!!!!
 

Kwenye rangi, You didn't, at least not directly but just by implication...

Otherwise, they may do it continuously as long as they are enjoying it, I don't care. I may even try it myself one day, have you ever tried? See you, was a nice discussion.
 
Sasa we Via Mobile na mwenzio ndio nini hivyo??
Badala yakuweka mambo vizuri hapa nasisi tunaotaka kujifunza tujue,
Mnaleta mambo yenu ya much know hapa.
Khaaaaaaaaa, wengine hata kingereza hatukijui sa ndo mnatusaidia je bana!!!!

Sorry LD, may be tulijikuta tumejisahau, hasa baada ya watu wengine kujitenga. Lakini yaliyozungumzwa ni ukweli hasa na hoja zilikuwa zinalenga kuelewesha. Watu wengine wapate kujua undani wa mada kwa kuwa si nyepesi kama ambavyo tunaichukulia. Tunasema siku ya 14 kitu kinakubali lakini si rahisi kiasi hicho. Ukifuatilia mjadala utagundua kuna mambo mengi yanayojulikana na yasiyojulikana ambayo hupelekea matokeo hata tusiyoyatarajia. ni vema kuyajua kama tuna nia ya kufanya anachokusudia kufanya mwanzilishi wa 'thread'. kuhusu lugha, kwa kuwa hatujaweka bayana lugha ya kutumia, ndio maana tumekuwa tunachanganya. Hata Jamii Forum yenyewe ni Kiswanglish! Asante LD
 
Utamchosha mwenzio bure.... Ziko siku za kupata mimba, na anatakiwa akae siku kadhaa kama 3 hivi kusudi mbegu zikomae ndio ampande Mkewe.. Usiseme hivyo, Jaribu kuwa mkweli zaidi...

Ni kweli atapata mimba ila, this is not TECHNICAL zaidi.

Hachoki mtu hapo, labda kama unajifanya TP Mazembe
 
Jaribu kudu siku ya 13,14,15 na 16 toka ulipoanza MP, yaani kama umenza MP tarehe 14 March basi du kuanzia 26,27,28 na 29, ingawa huwa ni siku ya 14 but kutokana na mabadiliko mabadiliko just try hapo natumaini utapata matokeo

Upo sahihi kabisa. majaribio mengi yamefanywa na matokeo yalikuwa ni 99.9% true; hasa kwa siku ya 12, 13 na 14.
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>


thanks Riwa, nilikuwa nahitaji sana hili somo sasa nimefunguka akili, inavyoelekea wewe ni dokta Kama sijakosea maana nimekuelewa vizuri kuliko navyomuelewaga dokta wangu
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>


thanks Riwa, nilikuwa nahitaji sana hili somo sasa nimefunguka akili, inavyoelekea wewe ni dokta Kama sijakosea maana nimekuelewa vizuri kuliko navyomuelewaga dokta wangu

Karibu Loly.....
 

Uko right LD, Ila kwa kuongeza tu nikuwa.....Kuna siku ambazo mimba ikitunga kunakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata mtoto either wa kike au wa kiume (NB: Si lazima iwe kama unavyopanga kwamba mtoto wa kiume au wa kike, lakini unaongeza uwezekano wa kupata mtoto unayetamani yaani wa kiume au kike).

Hii iko hivi...mwanamke ana mbegu XX na mwanaume mbegu XY. Kwenye kutunga mimba mwanamke anatoa mbegu moja (yai) ambayo itakuwa ni X tu, na mwanaume pia anatoa mbegu moja (sperm) ambayo itakuwa X au Y. Mbegu zikiungana kama ni X (yai) na X (sperm) then mtoto anakuwa wa kike (XX), na zikiungana X (yai) na Y (sperm) then mtoto anakuwa wa kiume (XY). Kwa mwanaume sperm zenye mbegu X huwa zinaishi siku 2 au 3 lakini ziko slow, na sperm zenye mbegu Y zinaishi siku 1 mara chache siku 2 lakini ziko fast.

Kwa hiyo basi, ukifanya tendo la uumbaji kabla siku 2 au 3 kabla yai halijatolewa (ovulation), mbegu X bado zitakuwa hai kurutubisha yai na hivyo kupata mtoto wa kike. Hivyo siku ya 12 na 13 baada ya kupata hedhi kuna uwezeakno mkubwa wa kupata mtoto wa kike. Na ukifanya tendo la uumbaji siku 2 baada ya ovulation, mbegu Y ambazo ziko fast zitawahi kurutubisha yai na kupata mtoto wa kiume. Hivyo siku ya 15 , 16 na 17 baada ya kupata hedhi kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…