kisute
Member
- Oct 6, 2010
- 54
- 3
Fanya hivi.
Anza kuhesabu siku ya kwanza mkeo anaanza hedhi. Ukikutana nae siku ya 5, 6, 7, 8, 9 na 10 toka siku anaanza hedhi hakuna uwezekano wa kupata mimba yai bado kabisa kupevuka na kusafiri. Ukikutana nae siku ya 11, 12, 13 na ya 14 hakuna shaka fertilization inatokea na mtoto ni wa kike. Mtoto wa kiume anapatikana kama utakutana na mkeo kuanzi siku ya 15, 16 na ya 17 mimba itatungwa ya mtoto wa kiume. Na siku zilizobaki hazina utungusho maana yai linakuwa tayari limekufa na siku ya 28 linatoka kama uchafu ambayo ndo hedhi yenyewe. Zingatia kuhesabu 1 pale siku anaanza na watu wengi wamefanikiwa ni sayansi wala sio miujiza. Hata wale mnaowashauri wapenzi wenu kutumia vidonge vya majira, si salama hata kidogo wapenzi wenu watakuwa na matumbo makubwa i.e vitambi bure. Tumieni kalenda zao si za hatari ni ya 11 hadi ya 17 basi. Huna haja ya kutumia madawa wala sindano za majira wala kondomu. Ni kuzingatia tu siku za mwenzi wako. Nasisitiza kuwa anza kuhesabu siku anaanza hedhi. Nawasilisha.
Hiyo siku ya tano(05) - ina maanisha baada ya kutoka kumaliza hedhi ndo uhesabu siku ya tano ndo siku ya tano au tunahesabu tangu siku anaanza kupata hedhi?