Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Fanya hivi.
Anza kuhesabu siku ya kwanza mkeo anaanza hedhi. Ukikutana nae siku ya 5, 6, 7, 8, 9 na 10 toka siku anaanza hedhi hakuna uwezekano wa kupata mimba yai bado kabisa kupevuka na kusafiri. Ukikutana nae siku ya 11, 12, 13 na ya 14 hakuna shaka fertilization inatokea na mtoto ni wa kike. Mtoto wa kiume anapatikana kama utakutana na mkeo kuanzi siku ya 15, 16 na ya 17 mimba itatungwa ya mtoto wa kiume. Na siku zilizobaki hazina utungusho maana yai linakuwa tayari limekufa na siku ya 28 linatoka kama uchafu ambayo ndo hedhi yenyewe. Zingatia kuhesabu 1 pale siku anaanza na watu wengi wamefanikiwa ni sayansi wala sio miujiza. Hata wale mnaowashauri wapenzi wenu kutumia vidonge vya majira, si salama hata kidogo wapenzi wenu watakuwa na matumbo makubwa i.e vitambi bure. Tumieni kalenda zao si za hatari ni ya 11 hadi ya 17 basi. Huna haja ya kutumia madawa wala sindano za majira wala kondomu. Ni kuzingatia tu siku za mwenzi wako. Nasisitiza kuwa anza kuhesabu siku anaanza hedhi. Nawasilisha.

Hiyo siku ya tano(05) - ina maanisha baada ya kutoka kumaliza hedhi ndo uhesabu siku ya tano ndo siku ya tano au tunahesabu tangu siku anaanza kupata hedhi?

Siku za hedhi 1-5

Siku kavu 6,7,8

Siku ya msichana 9,10,11,12

Siku za mvulana ute mwingi 13,14

Siku za mvurana 15,16

Siku kavu 17-27

Siku kavu mama hanasi mimba hukukosea sana mtoto wa kike nikuanzia siku ya 9-12 wa kiume siku ya 13-16

Kama wewe ni mwanamke, hakikisha Mr. Anashusha kabla yako mpaka utaposhika mimba. Na kama ni mwanamme hakikisha unashusha kabla ya bibie mpaka ataposhika Mimba.

Hiyo siku ya tano(05) - ina maanisha baada ya kutoka kumaliza hedhi ndo uhesabu siku ya tano ndo siku ya tano au tunahesabu tangu siku anaanza kupata hedhi?

Nimesema unaanza kuhesabu toka mwenzi wako anaanza hedhi. Wengi huchukua siku 4 kumaliza hedhi ndio maana nikakwambia kuanzia siku ya 5.

Siku za hedhi 1-5

Siku kavu 6,7,8

Siku ya msichana 9,10,11,12

Siku za mvulana ute mwingi 13,14

Siku za mvurana 15,16

Siku kavu 17-27

Siku kavu mama hanasi mimba hukukosea sana mtoto wa kike nikuanzia siku ya 9-12 wa kiume siku ya 13-16

Usipotoshe mfiakicheko watu ambao hawajui. Siku za kushika mimba ni kuanzia 11 hadi 17 toka hedhi imeanza. Mtoto wa kike ni kuanzia 11 hadi 14 wa kiume ni 15 hadi 17. Siwezi kuandika kila kitu maana wanaosoma hii thread si wote wanaojua X na Y chromosomes na basic na acidic characteristics of vagina. Waache wa2 wapange uzazi bila madhara kama wazungu wanaamua lini tupate mtoto wa aina gani. Si uchawi wala uganga.

Nchasi unapotosha.Maelezo yako yana fit kwa wanawake wenye mzunguko wa hedhi wa siku 28 tu.Wenye mzunguko wa zaidi ya hapo au chini ya hapo hawafai kufuata maelezo yako,ambayo ni ya kubahatishabahatisha sana
Nakubaliana na Riwa.Ameandika kitaalam zaidi

Wewe ndo unataka kuwapotosha ambao hawajui na usiwachanganye wakakosea kufuata ratiba za wenzi wao. Yai linajitokeza i.e kuwa tayari kuwa fertilized kwa normal woman kuanzi siku ya 11 toka anaanza hedhi hadi si ya 17 na baada ya hapo hufa. Nilipopotosha nh wapi? Lete uongo wako hapa ambao umetoka kwa mganga wa miujiza lakini sio kisayansi. Nakuambia wengi wameniona na wamefanikiwa 100%. Hata wewe fuata utafanikiwa huo ni ushauri wa bure. Kwa daktari utatozwa hela nyingi sana.

nilicho kiandika nisahihi mkuu sema kuna jedwali ra 1 MZUNGUKO MREFU
2 MZUNGUKO MFUPI 3 jedwali ra siku za ngoja uone sijui kama unalijuwa nikipata muda nitayabandika yoto

Nchasi unapotosha.Maelezo yako yana fit kwa wanawake wenye mzunguko wa hedhi wa siku 28 tu.Wenye mzunguko wa zaidi ya hapo au chini ya hapo hawafai kufuata maelezo yako,ambayo ni ya kubahatishabahatisha sana

Nakubaliana na Riwa.Ameandika kitaalam zaidi

Usipotoshe wasiojua na kuwapotezda malengo. Mitanzania mingine bwana, for normal woman siku za kubeba mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi 17 toka ameanza hedhi. Na wengi wamefuata huo ushauri wa kisayansi na kupanga ni mtoto gani wampate kwa wakati gani. Kama hutaki ushauri wa bure nenda kwa maspecialist wakakutoze hela kwa kitu ambacho hakihitaji hata kutoa sh .10. We magamba nini?

Wewe ndo unataka kuwapotosha ambao hawajui na usiwachanganye wakakosea kufuata ratiba za wenzi wao. Yai linajitokeza i.e kuwa tayari kuwa fertilized kwa normal woman kuanzi siku ya 11 toka anaanza hedhi hadi si ya 17 na baada ya hapo hufa. Nilipopotosha nh wapi? Lete uongo wako hapa ambao umetoka kwa mganga wa miujiza lakini sio kisayansi. Nakuambia wengi wameniona na wamefanikiwa 100%. Hata wewe fuata utafanikiwa huo ni ushauri wa bure. Kwa daktari utatozwa hela nyingi sana.

Ulichoandika wewe kina suit well kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 28.Kama mwanamke ana mzunguko chini ya hapo au mrefu zaidi ya hapo,ushauri wako haumfai.Taaluma za watu hizi mazee,siyo vitenzi shirikishi hivi

Ninamashaka na taaluma yako kama kweli uko kwenye hiyo fieeld. Hebu tuambie norma woman anamzunguko wa siku ngapi? Mbona unakimbilia kwenye ubnormality? Ndo nyie mnatozwa hela kwa vitu visivyo vya lazima. Waache watu wapate elimu ya bure kwenye fursa kama hii. Baada ya kuleta suluhisho we unasema eti nababaisha, ulishazoea kutozwa hela hata kwenye haki yako.

Nyadunga...hii njia inakuwezesha kuongeza kwa kiasi kikubwa 'uwezekano' wa kupata mtoto wa kiume, lakini sio lazima kupata mtoto wa kiume ukifuata njia hii. Njia ya uhakika zaidi (kama una hela) ni kurutubisha yai nje ya tendo la ndoa (In-Vitro Fertilization).

Njia hii kama alivyokuambia mpita Njia...inafuata 'timing' ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke, hivyo shati uelewe mzunguko wa mkeo ( ni mrefu zaidi ya siku 28, au siku 28, au mfupi chini ya siku 28) kwani hii hubadlisha timing ya tarehe/siku za kufanya tendo.

Kwa kawaida, genetically binadamu ana chromosomes X na Y (usijali sana hiki ni nini), akiwa na XX basi huyo ni mwanamke..na akiwa na XY basi huyo ni mwanamume. Wakati wa kutunga mimba, mtoto anapata nusu ya chromosome toka kwa yai la mama (X) na nusu toka kwa mbegu ya baba (X au Y). Kwa hiyo yai la kike mara zote ni X na mbegu ya kiume ni aidha X au Y.

Manii (kumradhi..shahawa) inapomwagwa ina mbegu za kiume zaidi ya milioni kwa goli moja, mbegu hizi ni mchanganyiko wa X na Y. Ila sasa, mbegu X na Y zina tabia tofauti..
- X zinaishi muda mrefu (hadi siku 3), lakini ziko slow...hivyo zikimwagwa huchukua muda mrefu kulifikia yai na kulirutubisha
- Y zinaishi muda mfupi (siku 1 na nusu), lakini ziko fast...hivyo zikimwagwa huwai kulifikia yai na kulirutubisha kama limeiva vya kutosha.

Sasa hapo ni kucheza na timing tu mkeo anatoa yai lini kutokana na urefu wa mzunguko wake wa mwezi. Yai likitolewa linakuwa halijakomaa na ukuta wake mgumu kwa mbegu kupenya, inachukua siku 1 na nusu hadi 2 kwa yai kumature na ukuta kuwa laini kupenywa na mbegu. Hivyo ukishanote siku ambayo mkeo anatoa yai (yai hutolewa kati kati ya mzunguko...usually siku ya 14 au 15 ya mzunguko) ongeza siku 2 then mfanye tendo, hapo assumption ni kuwa yai litakuwa limeiva na ukuta laini, na ukimwaga mbegu basi zile Y ambazo ni za kiume zitawahi na kurutubisha yai kabla ya X ambazo ni za kike. Hapo unazaa mtoto wa kiume.

Kwa hiyo basi, kuna uwezekano mkubwa sana wa kuzaa mtoto wa kiume kama utafanya tendo na mkeo siku ya 16 na/au 17 ya mzunguko tangu mkeo aanze bleeding!

Duh, hizi timing utafikiri za kumchinja kobe jamani? I presume kuwa timing negative ya haya maelekezo ni wa kike.

Ulichoandika wewe kina suit well kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 28.Kama mwanamke ana mzunguko chini ya hapo au mrefu zaidi ya hapo,ushauri wako haumfai.Taaluma za watu hizi mazee,siyo vitenzi shirikishi hivi

NgumiJiwe anaongea ukweli hapa....the issue ni kuelewa mzunguko, kisha kufanya timing kufuatana na mzunguko wako specifically. Kuna watu wengi tu wana mizunguko ya siku 26 na wengine siku 30, hawaovulate siku ya 14. Pia, sio wanawake wote wanableed kwa siku 5, wengi wanakauka siku ya 4 na wengine mpaka 7..so the point of reference should always be 'siku aliyoanza menses'.

Wewe Riwa nilichokiandika mimi ni for normal woman. Kama kuna ubnormal woman lete mapendekezo hapa, na si kusema eti kunaubabaishaji hapa kwenye sayansi. Hapa tunaapply Science.

Schedule Conception At The Time That Will Favor A Baby Boy: Since the boy sperm die off quickly, you need to conceive on the day of or immediately after ovulation (when the egg can be fertilized.) If you conceive before this, you would increase your chances of having a girl because the girl sperm can easily ride out this wait, while the boy sperm can not.Granted, this takes a lot of days in your "fertility window" off of the table, but if you want to choose your baby's sex, you need to time your conception with your ovulation with precise accuracy.
To do this, you need to know exactly when you ovulate. There are a couple of ways to do this. Many natural methods though (basal temperate and cervical mucus) leave a lot of room for error and misinterpretation. If these work for you, you're very lucky because they are hit or miss with many.
I much prefer ovulation predictor kits as they will pretty much give you a definitive yes or no answer. Of those, I much prefer saliva ovulation predictors because they are cheap, reusable, and very accurate (so much so that saliva is used for DNA testing.)
Use The Sexual Positions That Will Be More Likely To Produce A Son: Since the boy sperm are weaker and more volatile, it makes sense to use intercourse positions that will make their trip to the egg as fast and was easy as possible. A very effective way to do this is to use positions that use deep penetration so that the sperm is placed as close to the cervix and the egg as is possible.
Lower And Neutralize A Hostile, Acidic Environment And High PH: Other than miscalculating your ovulation, subjecting boy sperm to a highly acidic vaginal canal is probably the biggest mistake that couples trying for a boy make. The sperm that produce a son are very short lived, so you don't need to make this any worse by subjecting them to an environment that will make it that much harder.
One way to start the neutralizing process is to first test your acidity / PH so that you know where you fall and what you have to work with (and also how long this will take.) You can get vaginal PH testing strips online or at a health food store.
Once you know your number, you can then lower your PH in a few ways. The first is through foods and a special diet which will avoid acidic foods and will be heavy on alkaline foods. The foods you need to eat will be very specific, based on how naturally acidic you are, but it will be worth it in the end.
The other way to lower acidity is by douching with solutions based on your testing strips results.
A combination of both of these methods will get the results more quickly, but you can accomplish this with just food if you are opposed to douching. However, you will have to be diligent about your diet and getting alkaline may take a bit longer using only foods.
You can test how you are doing and how close you are getting to the "boy zone" by continuing to test your PH every few days. This way, you'll know precisely when you are ready (and when is the best time) to conceive your son.
:One way to start the neutralizing process is to first test your acidity / PH so that you know where you fall and what you have to work with (and also how long this will take.) You can get vaginal PH testing strips online

1. jedwali mzunguko mrefu

Siku za hedhi 1-5

Sk kavu 6,7,8,9,10,11,12,13,14,15

Sk ute 16,17,18,19,20

Siku ya 21-23 kavu kuanzia siku ya 16-23 nisiku ya mtoto/kupata mimba

Sk ya 24-31 kavu hawezi nasa mimba

2. Jedwali mzunguko mfupi

Siku za hedhi 1-5

Siku ya 5 anapatamimba

Sk ute 6,7,8,9

Sk kavu 10,11,12

Hizo kunza siku 6-12 nisiku za kunasa mimba

Sk kavu 13-24

Hawezi nasa mimba

3.Jedwali ra siku za ngoja uone

Siku za hedhi 1-5

Siku 6,7 kav (8ute) 9-13kavu hizisiku 6-13 sizakujamiiana zinaita ngoja uone

Sk ute 14,15,16,17 (18-20)kavu siku za kunasa mimba kunza 14-20

Sk kavu 21-30 hawezi nasa mimba

Mkuu tofautisha jedwali hizo 3 kinacho takiwa mama ajuwe yeye yopo kundi gani hayo mimi nimeyajumuisha kama unataka mtoto kike au kium kike nisiku za ute kiume siku kavu

Mpita njia nadhani umechanganya tabia za hayo mayai....ya kiume imekuwa kike, na kike imekuwa kiume!

Riwa nafikiri umemsoma vizuri coz hata mimi nilikuwa nang'ata mdomo nilvyokuwa nasoma hii post yake..amefanya vice versa.

Back
Top Bottom