MpitaNjia MpitaNjia acha kumuingiza mwenzako chaka, kwanza kabisa, mwanamke huwa anatoa yai moja tu kwa mwezi likipevuka kama halijapata kirutubisha toka kwa mwanaume ndio linapasuka tunapata hedhi,mwanaume huwa anatoa mbegu ina mbili na yeye ndio anauwezo wa kumzalisha mwanamke either boy or girl, kwa hiyo.....mbegu zinazokimbia haraka sana na kufa haraka sana zinatoka kwa mwanaume nazo ni za mtoto wa kiume na zinazoenda taratibu na kuishi muda karibu ya masaa 72 ni za mtoto wa kike, kwa hiyo hizo za mtoto wa kiume zikikuta yai lipo tayari zinatunga kwanza hapohapo na za kike zinakuwa zimechelewa, na zikikuta yai bado haliapevuka za mtoto wa kiume zinakufa za kike zinakaa kama yai litapevuka kwa masaa 72 niliyotaja hapo juu unapata girl
kwa msingi huu basi, hesbu mzunguko wa mkeo vizuri kama ni wa siku 28 wewe fanya nae mapenzi siku ya 14 na hakikisha wakati unamwaga mbegu uume uko ndani kabisa, na wanaotaka bby girl wanaweza fanya tendo siku ya tisa,ili zikikaa ndani za kiume zinakufa, yai likija linazikuta zenyewe tu zinasubiria, ukiona ya tisa hujanasa unasogeza tena siku moja mbele,hivohivo mpaka utafanikiwa