Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

sasa angenanihii wapi na wewe? mtu mumeo kabisa.kumbe nyie ndo mnawafukuza waume zenu ndani unampa kwa kubaniabania wakati huko nje anaambia ananilii popote.kuwa mjanja wewe mama kuna method nyingi sio unalala lala kiboya

asante sana kwa hiyo hiyo kitu nitapata pharmacy haina jina hiyo dawa nikimwambia tu hiyo atanipa hizo vidonge
Mtoto akililia wembe mpatie!

Chukua wembe huu hapa:

"Women can prevent pregnancy even after unprotected sex by using a readily available contraceptive method: Certain types of oral contraceptives, when used as directed in high doses after unprotected intercourse, are safe and 75 percent effective in preventing pregnancy

Although not as effective as a regular method, this "emergency contraception" can prevent unwanted pregnancy among women who have been sexually assaulted, experienced a contraceptive failure, forgotten to use a regular contraceptive method or used it incorrectly. Emergency contraception can protect them from resorting to an unsafe abortion -- which kills up to 70,000 women in developing countries every year2, and it may prevent life-threatening complications of pregnancy among women who are too young or too old to bear a child safely.

Emergency contraception should be emphasized as an option in family planning services. It has an important role as a back-up method, particularly for the use of barrier methods, and it should be provided simultaneously with them.

Oral contraceptives used for emergency contraception do not cause abortion because they act before pregnancy begins. These emergency contraceptive pills (ECPs) are thought to alter the uterine lining, or endometrium, thus preventing implantation. In some cases, they may also interfere with ovulation or fertilization or with the luteal phase. Using the pill on an emergency basis is safe, even for many women who should not use oral contraceptives routinely''.

dah sasa nitafanyaje hamna dawa ya kumeza nitoe hii mimba kama imeingia

we dada wewe dada wewe! wewe unayejiita unlucky wewe!

unataka kuua? haraka sana tubu kwa Mungu usamehewe. hiyo ni roho ya uuaji na unapaswa kuishinda! mtoto mumeuingiza wenyewe kwa mapenzi yenu na mumeo humo tumboni kisha unapanga kumuua, nimekuuliza pale juu kama umebakwa hujajibu, hata kama ungesema umebakwa, bado huna haki ya kumuua mwanao! mtoto huyo katoka kwa Mungu, ukohuko ulikotoka wewe, wewe hukuuawa, unatoa wapi haki ya kuua wengine?

acha mambo ya ajabu km humtaki huyo mtoto ukishamzaa tu niletee.

kwa kweli bila kuwa na Yesu ni bure kabisa!

anataka kuua mtoto mchana kweupe na bila hata haya anakuja hapa JF kuomba ushauri? anataka kuwashirikisha wana JF wote mauaji anayopanga kufanya? kama utayatekeleza mauaji hayo damu ya mtoto huyo na iwe juu ya kichwa chako mwenyewe!

ee, Mungu tunusuru na hila hizi za shetani!

Mtoto akililia wembe mpatie!
Chukua wembe huu hapa........................

hapana mpendwa!

unampa wembe akaue mtoto? angekuwa naenda kumuua mwanao ungempa huo wembe?

muogopeni Mungu wapendwa!

roho hii ya kishetani ya mauaji ya watu na ishindwe katika jina la Yesu,

amina!

asante sana kwa hiyo hiyo kitu nitapata pharmacy haina jina hiyo dawa nikimwambia tu hiyo atanipa hizo vidonge

naikemea roho hiyo ya mauaji ikuache katika jina la Yesu!

Mungu yupo na anakuona kwa mauaji hayo unayopanga kufanya dhidi ya mwanao

Acha ajilipue!
Tumemuuliza maswali hapo juu ya muhimu sana (as MEDICAL OFFICERS) ili tumhakikishie kuwa anaweza kuwa keshapata ujauzito ama la, bado anajizunguusha tu, anaulizwa na kubembelezwa anajibu mengine na anaomba mengine.
Acha ajilipue!

Mimba imeingia tena ya mtoto wa kike maana yai lako linapevuka tar 19 na ndiyo siku mliyokutana, siku 4 kabla au 4baada ni siku za mtoto, nne za mwanzo za mtoto wa kike

dah sasa nitafanyaje hamna dawa ya kumeza nitoe hii mimba kama imeingia

ooh me ..ooh my god???
Kama umeolewa una hofu ya mimba kwa nini?
na kama ulikubali kumpa mmeo katika hizo tarehe iweje uogope mimba lol
walimwengu tuna kazi

samahani sana wadada mie siui labda hamzijui shida zangu na kwanza mie sijasema na mimba bado haijajulikana na nimepima bado sina mimba sawa naomba muende kwenye hoja zangu muone jinsi navyonyanyasika nendeni kwenye hoja ya mahusiano,mapenzi,urafiki nimeandika asanteni kwa mawazo yenu fungua na msome na kama kubakwa pia nabakwa na mume nalazimishwa asanteni

Ufanye mapenzi tarehe 24 (mimba itunge tarehe 24), halafu upime tarehe 24, 25 au 26 kipimo kioneshe negative halafu useme hauna ujauzito?
Jamani fani zetu zimevamiwa - mnatumia wataalamu gani wanaowalia pesa?
Au mnakurupuka tu na kwenda Pharmacy, maduka ya dawa muhimu au vizahanati uchwara na kusema NATAKA NIPIM UJAUZITO!
Hata mimi mwenye ukija kwangu kwa kujifanya mjuaji eti "NATAKA NIPIME UJAZITO KAMA UMEINGIA!". Nitakupima kwa sababu naingiza pesa. Ukija kwa kuhitaji ushauri wa kitaalamu, nitakuambia njoo baada ya wiki mbili tupime tuone.

Kwa sababu hCG huweza kuwa detected kwa vipimo vingi two weeks after ovulation coupled with conception:

Kwa wale msioamini mnachoambiwa na wataalamu hadi muone (mhusika mkuu ukiwa ni wewe UNLUCKY), nikuite Tomaso soma hapa:

Pregnancy Test Information on MedicineNet.com
Msijifanye wajuaji. Tumieni wataalamu kupata majibu sahihi ya matatizo/ mahitaji yenu.
Mtu umesomea uhasibu halafu unataka usimamie ujenzi au ujiamulie kwamba ujenge vipi nyumba yako n.k

wewe dada unapanga kuua! unafikiria mauaji. kutoa mimba ni kuua mtoto. hakuna shida hapa duniani zinazompa mtu haki ya kuua. likimbie kabisa tena kwa kasi sana wazo la kutoa mimba, ukiendelea kuli-entertain wazo hilo ujue shetani kakuweka kati ili ufanye mauaji ya kinyama ya mwanao mwenyewe na tena kwa mikono yako na pesa zako mwenyewe.

kubakwa na mumeo ni hiyari yako, kama si hiyari yako, umeishatafuta msaada wa kisheria? kama hujatafuta basi hujabakwa na kama unabakwa basi bado hujaona kama kubakwa na mumeo ni tataizo na matokeo yake unalalamikia mimba usiyoitarajia na kumbe ulifurahia kubakwa kulikosababisha mimba hiyo.

hebu zinduka mwenzetu, mbona unatuangusha? hiyo thread yako ninaifuatilia sana na matatizo yako kwa kweli yamengsa sana, lakini siwezi kukunga mkono unapotaka kufanya mauaji, ningekuwa nakufaamu ningekutembelea na kukuambia haya ninayoandika hapa uso kwa uso! kwani ni udhamirie kumuua mwanao? kwa nini wewe dada? zidhibiti starehe zako na mumeo na sio ufanye starehe zako kisha ukatili maisha ya wanao!

kama unabakwa nenda polisi na kwenye NGO znazotoa msaada wa kisheria utasaidiwa

dah, jamani watu wengine!

Sasa unasubiri nini hapo? Maana huyo sio mume tena ila ni GUMEGUME!

samahani sana wadada mie siui labda hamzijui shida zangu na kwanza mie sijasema na mimba bado haijajulikana na nimepima bado sina mimba sawa naomba muende kwenye hoja zangu muone jinsi navyonyanyasika nendeni kwenye hoja ya mahusiano,mapenzi,urafiki nimeandika asanteni kwa mawazo yenu fungua na msome na kama kubakwa pia nabakwa na mume nalazimishwa asanteni
hapo kwa redi si uende polisi afungwe maisha ama ushahidi huna?

Si kuwa ni fani imeingiliwa ila inabidi ma daktari mjue kuwa zama hizi wagonjwa si wale wa zamani. Tuna uelewa mkubwa sana sometimes kuzidi madaktari kwani infromation tuna zi google tu. Nimesoma article moja professor mmoja alikwa anasema these days patients ask doctors why?. Yani daktari huwezi kumjibu mgonjwa bla bla lazima utoe maelezo ya kutosha kwani na sisi tunajua!
wewe dada unapanga kuua! unafikiria mauaji. kutoa mimba ni kuua mtoto. hakuna shida hapa duniani zinazompa mtu haki ya kuua. likimbie kabisa tena kwa kasi sana wazo la kutoa mimba, ukiendelea kuli-entertain wazo hilo ujue shetani kakuweka kati ili ufanye mauaji ya kinyama ya mwanao mwenyewe na tena kwa mikono yako na pesa zako mwenyewe.

kubakwa na mumeo ni hiyari yako, kama si hiyari yako, umeishatafuta msaada wa kisheria? kama hujatafuta basi hujabakwa na kama unabakwa basi bado hujaona kama kubakwa na mumeo ni tataizo na matokeo yake unalalamikia mimba usiyoitarajia na kumbe ulifurahia kubakwa kulikosababisha mimba hiyo.

hebu zinduka mwenzetu, mbona unatuangusha? hiyo thread yako ninaifuatilia sana na matatizo yako kwa kweli yamengsa sana, lakini siwezi kukunga mkono unapotaka kufanya mauaji, ningekuwa nakufaamu ningekutembelea na kukuambia haya ninayoandika hapa uso kwa uso! kwani ni udhamirie kumuua mwanao? kwa nini wewe dada? zidhibiti starehe zako na mumeo na sio ufanye starehe zako kisha ukatili maisha ya wanao!

kama unabakwa nenda polisi na kwenye NGO znazotoa msaada wa kisheria utasaidiwa

dah, jamani watu wengine!

Nimemjibu Miss Judith kwa makosa. Ila nilitaka kujibu hii comment yako mheshimiwa. Wagonjwa wa karne hii ya sayansi na technolojia tunajua vitu vingi kama madaktari. Kwa hiyo fani haijaingiliwa wala nini ila tuna wachallenge kuwa mjipange vizuri na mkubali kuwa questioned na wagonjwa wenu kwani information nyingi za magonjwa na tiba ziko online.
Ufanye mapenzi tarehe 24 (mimba itunge tarehe 24), halafu upime tarehe 24, 25 au 26 kipimo kioneshe negative halafu useme hauna ujauzito?
Jamani fani zetu zimevamiwa - mnatumia wataalamu gani wanaowalia pesa?
Au mnakurupuka tu na kwenda Pharmacy, maduka ya dawa muhimu au vizahanati uchwara na kusema NATAKA NIPIM UJAUZITO!
Hata mimi mwenye ukija kwangu kwa kujifanya mjuaji eti "NATAKA NIPIME UJAZITO KAMA UMEINGIA!". Nitakupima kwa sababu naingiza pesa. Ukija kwa kuhitaji ushauri wa kitaalamu, nitakuambia njoo baada ya wiki mbili tupime tuone.

Kwa sababu hCG huweza kuwa detected kwa vipimo vingi two weeks after ovulation coupled with conception:

Kwa wale msioamini mnachoambiwa na wataalamu hadi muone (mhusika mkuu ukiwa ni wewe UNLUCKY), nikuite Tomaso soma hapa:

Pregnancy Test Information on MedicineNet.com
Msijifanye wajuaji. Tumieni wataalamu kupata majibu sahihi ya matatizo/ mahitaji yenu.
Mtu umesomea uhasibu halafu unataka usimamie ujenzi au ujiamulie kwamba ujenge vipi nyumba yako n.k

Nimemjibu Miss Judith kwa makosa. Ila nilitaka kujibu hii comment yako mheshimiwa. Wagonjwa wa karne hii ya sayansi na technolojia tunajua vitu vingi kama madaktari. Kwa hiyo fani haijaingiliwa wala nini ila tuna wachallenge kuwa mjipange vizuri na mkubali kuwa questioned na wagonjwa wenu kwani information nyingi za magonjwa na tiba ziko online.

Siyo kwamba hatutaki mtu-challenge!
Lkn tunashangaa pale mtu anapojifanya mjuaji wakati anachodhani anajua ni utumbo mtupu!
Kilichonifanya niongee kwa hasira ni pale ambapo nilimwomba anijibu maswali yangu sijui yalikuwa ma3, sijui ma4, akawa anatoa maelezo mengine tu na alipokuja kuniua zaidi pale aliposema amepima ujauzito haujaonekana - nikagundua huyu atakuwa amejichukulia maamuzi bila kushirikisha wataalamu either kwa kujifanya anajua Physiology ya mimba ama kwa kuwafuata wataalamu uchwara! Maana kwa Tz mtu yeyote mwenye koti jeupe hospitali ni Daktari!

Tunakaribisha na tunapenda challenge, lakini msijifanye wajuaji katika vitu ambavyo mnadhani mnajua wakati hamjui! HUU ND'O ULIKUWA UJUMBE WANGU!
Haki ya Mungu mna bahati sana!
Tunafanya consultation (kupitia Telemedicine), pasipo hata kulipwa shilingi, ni kwa sababu tu tunajisikia huzuni tunapoona binadamu anahitaji msaada ambao haiwezi hata kuzidi dakika 5 unakuwa umemsaidia eti umwache kwa sababu hakulipi!!!

Professor naye alikuwa amejichokea - mgonjwa ana haki ya kujua anaumwa nini, kwa nini anaumwa, kuna aina gani za tiba na kwa nini atibiwe kwa njia hiyo badala ya njia nyingine? Daktari akiwa mkali katika maswali hayo ujue shule yake mgogoro!

Back
Top Bottom