Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Duuh pole sana ila ongeza kasi tu ya chakula cha usiku na diet ya jamaa nayo yakuangalia..... ...... kila la kheri.
 
Oh, kumbe una mwenzio! Nilitaka kukuambia uni-PM (just joking)
Hakikisha kwamba baada ya ile mimba kutoka ulisafishwa vizuri.
 
Miezi saba ni michache mno kuanza kuingiwa na wasiwasi. Ila jaribu kupumzika vya kutosha na uondoe wasiwasi (wakati mwingine stress na wasiwasi huongeza ugumu wa kushika mimba) kuhusu hili ule vizuri na kama mwenzako mambo yake yako poa basi mambo yatajipa tu.

 
Last edited by a moderator:
Nashukuru jaman kwa ushauri.tatizo mume wangu ni mtu wa kusafiri.
 
Mkamia maji hayanywi.
Hebu relax, fanya tendo with confidence, jibinuebinue uwapo kwenye majamboz, kuwa mbunifu, mkalie mzee mikao ya kata funua, jipagawaishe hadi mwenzako apagawe na kupagawa kwako. Mbona mwezi ujao tu mwenyewe unaanza visirani na kutaka udongo, mara chaki mara kichefuchefu na mara nyingine mimba zisivyo na adabu zinaweza kukufanya uzichukie kabisa nguo za ndani.

Bujibuji loo...! Hujatulia kama jina lako!
 
Nashukuru jaman kwa ushauri.tatizo mume wangu ni mtu wa kusafiri.

Kama ni mtu wa kusafiri lazima huko anakoendaga ana wanawake wengine (Usiulize kwa nini maana hata mimi huwa nafanyaga hivyo hivyo na wanaume wote wenye kazi za kusafiri safiri watakubaliana na mimi).Kwa hiyo jitahidi kumlazimisha usafiri nae hasa kwa zile siku za 'hatari' na msiwe mnafanya kila siku.Wiki moja kabla ya siku za 'hatari' jamaa asimwage 'shahawa' popote
 
Unajua kuolewa peke yake haitoshi kupata mimba.
Je, mnakula dudu? Usije ukawa umeolewa lakini hamkuli hiyo kitu asee!
 
kama vp tuwasiliane nikuoneshe mimba inavyo shika kwa vitendo ni wiki mbili utaona mabadiliko. Naona haukunwi vya kutosha nipe nafasi hiyo hakika utafurahi
 
Jaman habari za saa hizi?mimi nimeolewa nina mwezi wa 7 sasa sijapata mimba na hospitali nimepima sina shida yoyote na mpangilio wa siku naufatilia.naomba wenye ujuzi mnielekeze.asante

Pigwa staili ya mbwa kachoka kizazi kinafunguka chenyewe
 
Jaman kama nimapenz mume wangu kweli kaz anaijua.tatizo ni hilo.asante
 
Jaman kama nimapenz mume wangu kweli kaz anaijua.tatizo ni hilo.asante

dada'ngu, nikweli unataka mtoto? Ok! Kuna bwana m1 yeye ni mtambo wa kuzalisha watoto,huyu ni askari magereza,pale moshi gereza la karanga..taarifa zinaonyesha mpakka leo hii anawatoto 41 na jamaa ana miaka kama 45 hivi. Wanawake wengi waliopatwa na matatizo kama yako walikuwa wanamwona jamaa. Wakikutana tu lazima kieleweke. (sitanii) kama vp kamcheki jamaa,!
 
Muamini MUNGU wako tu na kuwa na imani! yale mambo ni so pyschological, tulia na amini hivo utapata! Mdogo wangu wa kiume walikaa miaka mitatu hadi last june ndio mkewe kajifungua! ni timing tu wala huna tatizo lolote
 
jaman habari za saa hizi?mimi nimeolewa nina mwezi wa 7 sasa sijapata mimba na hospitali nimepima sina shida yoyote na mpangilio wa siku naufatilia.naomba wenye ujuzi mnielekeze.asante

mchukue mwenzako mkono kwa mkono nenda kwa dk ...wako wengi ila unaweza kumtumia huyu anaita prof mgaya yuko pale mbuyuni ukitoka moroco kwenda posta shuka mbuyuni uliza kwa mgaya huku kimoyo moyo unamwomba mungu akuonyeshe tatizo liko wapi na mumeo aweze kumwona..niliwahi kwenda nikaona wanaume wengi wakiona kundi la wanawake walivyojaa wanagoma so swala sio kushuka kituoni tu ni pamoja na maombi ya mumeo kukubali kuingia na mungu awape soln ya tatizo....
 
mwenzangu yupo vizuri kwa sababu nilishabeba mimba ikatoka tokea hapo ni matatizo.

kubeba mimba yake isikudanganye yuko sawa jiulize kwa nini ilitoka..iwapo kama mbegu azina nguvu unaweza kubeba mimba lakini ikawa shida kwenye ukuaji so nenda nasema nendeni wote acha kulalamika jamvini chukua maamuzi sasa
 
Huku nimeibia site ya wenyewe. Kuna mambo yenye joto sana huku. Nawasalimu wenyeji wote wa MMU nawasihi hata ninyi karibuni kule kwe2!
 
Back
Top Bottom