Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,933
- 988
Duh!! Mama yangu weee!!!!!Kweli vijiwe vya kahawa na tangawizi vimepata wa-alimu na ma-poro-fesa.Njia nyingine ya asili kabisa ni kwa kupitisha vidole vyako viwili vya mkono wako kwenye uke wa mkeo ndani then unabönyeza pembezoni wa kuta za uke ukihisi kuna uvimbe fulani ujue hizo ni tezi za ujauzito hata wa week moja waweza tumia njia hiyo.
...........hivi kwa nini linasumbua watu wengi? Mtoto ni mtoto jamani, haijalishi jinsia.
MpitaNjia MpitaNjia acha kumuingiza mwenzako chaka, kwanza kabisa, mwanamke huwa anatoa yai moja tu kwa mwezi likipevuka kama halijapata kirutubisha toka kwa mwanaume ndio linapasuka tunapata hedhi,mwanaume huwa anatoa mbegu ina mbili na yeye ndio anauwezo wa kumzalisha mwanamke either boy or girl, kwa hiyo.....mbegu zinazokimbia haraka sana na kufa haraka sana zinatoka kwa mwanaume nazo ni za mtoto wa kiume na zinazoenda taratibu na kuishi muda karibu ya masaa 72 ni za mtoto wa kike, kwa hiyo hizo za mtoto wa kiume zikikuta yai lipo tayari zinatunga kwanza hapohapo na za kike zinakuwa zimechelewa, na zikikuta yai bado haliapevuka za mtoto wa kiume zinakufa za kike zinakaa kama yai litapevuka kwa masaa 72 niliyotaja hapo juu unapata girl
kwa msingi huu basi, hesbu mzunguko wa mkeo vizuri kama ni wa siku 28 wewe fanya nae mapenzi siku ya 14 na hakikisha wakati unamwaga mbegu uume uko ndani kabisa, na wanaotaka bby girl wanaweza fanya tendo siku ya tisa,ili zikikaa ndani za kiume zinakufa, yai likija linazikuta zenyewe tu zinasubiria, ukiona ya tisa hujanasa unasogeza tena siku moja mbele,hivohivo mpaka utafanikiwa
Jiandae cliniki, hizo ni tarehe safi kabisa kwa kupata ujauzito lakini hii ni kama mmeo ana uwezo huo na wewe kama una kizazi. kwasababu swala la kupata ujauzito haliishii kwenye timing tuuhabari zenu wanajf mimi nilikuwa nauliza kwamba siku gani mwanamke anaweza kupata mimba baada ya kumaliza menstruation period
mimi nilipata hedhi tarehe 10 mwezi huu na nilimaliza tarehe 16 nimekutana na mume wangu tarehe 24 ame discharge ndani je naweza kupata mimba naomba mnisaidie kwa hilo
habari zenu wanajf mimi nilikuwa nauliza kwamba siku gani mwanamke anaweza kupata mimba baada ya kumaliza menstruation period
mimi nilipata hedhi tarehe 10 mwezi huu na nilimaliza tarehe 16 nimekutana na mume wangu tarehe 24 ame discharge ndani je naweza kupata mimba naomba mnisaidie kwa hilo
Naomba unijibu maswali yafuatayo kabla sijakupatia majibu yako.
(1)Kuna utelezi wowote ambao huwa unau-feel (siyo lazima uone ute) wakati wa hedhi na au baada ya hedhi? I do not want the colour of the mucus (if you tell me the colour, it doesn't matter; I am neither interested in the colour nor amount - what I need to know is THE QUALITY of the mucus.
(2)Je, mwezi huu uliu-feel?
(3)Kama uliu-feel ulikuwa unateleza zaidi lini?
(4)Jana tarehe 23 huo utelezi ulikuwepo?
Nasubiri majibu yako ili nipige ramli!

Kumbe hadi kwenye ndoa kunahofu ya mimba???

ndoa sio uwanja wa taifa ndugu, kwamba unafunga magoli uwezavyo! kama ana watoto 5, ama wana mtoto mdogo? au inawezekana wameshakubaliana ratiba ya kuzaa kutokana na hali halisi ya maisha... mjini mipango!

wapendwa mie na watoto watatu huyu wa mwisho ana miezi 4 na mie sitaki kuzaa nataka baada ya ramadhn niende kuwekesha vijiti vya mkono huyu bwana ye ananifanyia makusudi tu kilazima anafanya anataka kila mwaka mtoto kabla ya kufanya hilo tendo tunakubaliana kwanza kama ye hatadischarge badae kanigeuzia kibao ndo mana sina raha sasa nilitaka kujua na hiyo mucus nadhani nilikua sina

<br / acha mambo ya ajabu km humtaki huyo mtoto ukishamzaa tu niletee.dah sasa nitafanyaje hamna dawa ya kumeza nitoe hii mimba kama imeingia
dah sasa nitafanyaje hamna dawa ya kumeza nitoe hii mimba kama imeingia