Kumbe sasa jibu unalo.. Siku nyingine uwe unamwomba msafiri wote!Nashukuru jaman kwa ushauri.tatizo mume wangu ni mtu wa kusafiri.
Nashukuru jaman kwa ushauri.tatizo mume wangu ni mtu wa kusafiri.
Mkamia maji hayanywi.
Hebu relax, fanya tendo with confidence, jibinuebinue uwapo kwenye majamboz, kuwa mbunifu, mkalie mzee mikao ya kata funua, jipagawaishe hadi mwenzako apagawe na kupagawa kwako. Mbona mwezi ujao tu mwenyewe unaanza visirani na kutaka udongo, mara chaki mara kichefuchefu na mara nyingine mimba zisivyo na adabu zinaweza kukufanya uzichukie kabisa nguo za ndani.
Nashukuru jaman kwa ushauri.tatizo mume wangu ni mtu wa kusafiri.
Jaman habari za saa hizi?mimi nimeolewa nina mwezi wa 7 sasa sijapata mimba na hospitali nimepima sina shida yoyote na mpangilio wa siku naufatilia.naomba wenye ujuzi mnielekeze.asante
kama vp tuwasiliane nikuoneshe mimba inavyo shika kwa vitendo ni wiki mbili utaona mabadiliko. Naona haukunwi vya kutosha nipe nafasi hiyo hakika utafurahi
Jaman kama nimapenz mume wangu kweli kaz anaijua.tatizo ni hilo.asante
jaman habari za saa hizi?mimi nimeolewa nina mwezi wa 7 sasa sijapata mimba na hospitali nimepima sina shida yoyote na mpangilio wa siku naufatilia.naomba wenye ujuzi mnielekeze.asante
mwenzangu yupo vizuri kwa sababu nilishabeba mimba ikatoka tokea hapo ni matatizo.