Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

TIQCO ujue hao wameshazaa,na kama umesoma vizuri maelezo yake nadhani ugumba haupo. Ila labda baada ya ushauri mzuri kushindikana wanaweza kumuona dokta.
 
Habari zenu waungwana? Mwaka jana nilipata mimba mwezi wa tisa, bahati mbaya ilipofikisha miezi miwili ikaharibika ila nilijipa moyo itaingia nyingine. Mpaka kufika mwezi wa kwanza kitu kikakataa, nikaenda hospital dokta akanifanyia utra-sound ila kizazi hakikuwa na matatizo akanipatia dawa aina ya clomifene kwa ajili ya kurutubisha mayai,ila mpaka sasa hamna kitu. Naimani hapa nitapata ushauri stahiki, je waungwana niendelee kutumia vidonge or niviache? je naweza kuwa nina tatizo? je kuna kipimo kingine nawez kupima? natanguliza shukrani.
 
Mullay,
Tiba yoyote nzuri inatolewa baada ya kufanyiwa diagnosis kulingana na hali yako mwenyewe. Itakuwa vema kama ukirudi kwa daktari aliyekupatia clomefene umweleze kuwa ushatumia dawa zimekwisha na majibu bado. Kwasababu yeye anaijua historia ya tatizo lililotokea atakuwa kwenye nafasi nzuri ya kukusaidia. Labda utueleze kuwa huna imani na daktari aliyekutibu mwanzo hivyo unahitaji bigwa wa matatizo hayo.
 
Nitaufuata ushauri wako king. Na sio kama sina imani nae ila ni katika hali ya kuomba ushauri zaidi na pia siku zinazidi kwenda.
 
Mwambie shemeji akukunje fresh Zile siku za hatari(12-16day)akukunje kama sambusa na wewe mpepete kama mchele.
Kisha mambo yatajipa.
Mpikie dona na ndondo,kwenye ndondo weka karanga za kutosha na nazi.
 
Ni kweli, rudi kwa dr wako muone what next. Mshauri pia mfanye 'follicular study', ambayo inaangalia na kuonyesha exactly siku unazoweza kupata mimba. Huenda una mzunguko ulioko sawa lakini unaikosa siku ya ovulation. Maisha ya kisasa haya kukutana kila siku sio practical.
 
Pole. Hali ya hedhi iko sawa sawa kama mzunguuko wako hauna shida jaribu kuweka hapa ili watu wakushauri kwa urahisi.
 
Asante kennedy,iliharibika nov 15, dec nkaingia trh 17, jan trh 13, febr trh 11 na march ilikuwa trh 9. nahisi nimejitahid kutoa maelezo ya kutosha.
 
Hizo dawa walikushauri umeze wakati gani? na wewe unameza vipi? hii itasaidia kuona kama unafatilia matumizi yake.
 
Asante kennedy,iliharibika nov 15, dec nkaingia trh 17, jan trh 13, febr trh 11 na march ilikuwa trh 9. nahisi nimejitahid kutoa maelezo ya kutosha.

unauliza ushauri halafu unasema umetoa maelezo ya kutosha, sasa kwanini umekuja humu? haya utajiju
 
nimetoa maelezo ya kutosha kulingana na swali nililoulizwa, kama hujanielewa hope wengine wameelewa. kwenye swala la dawa niliambiwa nimeze kuanzia siku ya tano baada ya kumaliza hedhi. Then nikutane kimwili siku tatu before na tatu baada ya yai kupevuka na ile siku kumi na nne. Ila niwe naruka siku moja moja ili kuzifanya mbegu ziwe zina nguvu.
 
Patients Instructions for Clomid Use

1. Day 1 is the day of onset of menses. Once menses starts, call office to schedule a baseline ultrasound (must be obtained before starting medication). If menses begins on the weekend, please call Monday morning.
2. Starting on Day 3, 4 or 5, take pill (s) a day (50 mg/pill) for 5 days.* You are expected to ovulate between 5 to 10 days after stopping the last Clomid tablet(s).
3. You should have frequent intercourse (every other day) the week before and including the suspected day of ovulation, (cycle days 9-18). If you are using an LH detection kit, you should start testing your urine 3 to 4 days after the last Clomid tablet is taken (i.e.; if taking CC CD 4-8, start LH on CD 11) and continue until ovulation is indicated (test becomes positive.) or through day 18. If there is no spontaneous surge, a 10,000 IU intramuscular injection of hCG may be given if there is a >20 mm follicle.
4. It is recommended that you schedule an ultrasound and blood test for serum estradiol between 4 and 6 days after your last pill (i.e.; if taking CC CD 4-8, schedule U/S and E2 on CD 12 to 14).
4. Around day 21-25 (approximately 7-9 days after ovulation), come in for blood test for progesterone (this gives vital information regarding your ability to ovulate).
5. In many patients, progesterone (P4) supplementation for the luteal phase (after ovulation) will be given. Normally, this P4 supplementation (either 200 b.i.d. for suppositories or 50 IM/daily) begins within 3 days of ovulation. Pregnancy testing will then be checked if no menses begins by 14 to 16 days after ovulation.
* Clomid is supplied as 50 mg. tablets. The starting dose should be 50 mg. daily for 5 days, increasing to 100,150 or even 200 mg if ovulation does not occur. Some patients will require increased amounts of clomiphene and/or addition of other medications to clomiphene to induce regular ovulations.
Injection of human chorionic gonadotropin (hCG), given usually 7 to 9 days after the last clomiphene tablet, ensures follicular rupture and has the advantage that intercourse can be timed accurately. Ovulation normally occurs 24-36 hours after a 10,000 IU intramuscular injection of hCG is given. hCG is given based on use of ultrasound to assess follicular growth.

*The information provided here is for educational purposes only and does not apply to any particular patient situation. These are general dosage recommendations and do not apply to any particular patient. Clomid can produce serious side effects and must be administered only by a physician thoroughly trained in its use.


source- Clomid, Fertility Drug for Ovulation

ukigoogle utaona mengi. inasaidia sana believe me as unaweza weka maswali pia kwa daktari.

Ila kiukweli mie naona umewahi sana kukimbilia dawa, najua inauma sana kupoteza mimba ila ungetulia na kutofikiria juu ya kupata mimba ingekusaidia wewe kupata tena mimba. Najua haya mambo ya madawa wengi wanatumia ikishindikana kabisa.
Or labda ulitumia sababu una haraka ya kuzaa au umeambiwa una matatizo. Ila upunguze kufikiria sana juu ya mimba.

Pia najua watu huwa wanakunywa na hawafati siku gani walalane wenyewe ni kulala tu ilimradi iingie na inaingia. wengine ndo kama hivi aiingii hata wafate maagizo yote vizuri ya daktari

ila umewahi kutumia dawa huu ni muonekano kwa upande wangu. tulia usijiumize huko tumboni.
 
Dada, watoto ni zawadi toka kwa Mungu. daktari hasaidii lolote. nakushauri nenda kwenye maombi kitu cha kwanza. pili tuliza mawazo yasichanganyikiwe kwasababu yatakufanya unaproduce sumu kwenye uke itakayokuwa inaua mbegu zisifike. tatu, ukipata mimba tulia, achana na kazi ngumu kwasababu pengine kizazi chako kimelegea hakiwezi kuhandle pracenta pengine ulishawahi kusafishwa na vyuma au ulitoa mimba magonjwa ya zinaa etc. nakushauri kwasasa usikubali waganga kukusafisha kizazi, huwa wanakwangua afu pracenta inashindwa kuja kujishikiza vizuri. pia, inawezekana ni majini. wanawake wengi siku hizi wanaolewa na majini bila wao kujijua,hi ni kwasababu ya kuvaa maurembo ambayo watu hawajui hata yametoka wapi, mengine yametengenezwa kuzimu yana network za kijinijini, hivyo wakipita njiani majini yanawaingia, yanakuwa yanawafanya mapenzi bila wao kujijua, yanakuwa na wivu kiasi kwamba ukipata mimba yanaua mtoto ili ubaki bila mtoto yaendelee kukudoooo, wengine hayataki uolewe, yanakuwekea mkosi usipate wanaume kwasababu yana wivu wa kimapenzi hivyo msichana mzuriiiii anakuwa na mkosi kuolewa etc. ndo maana nilisema cha kwanza nenda kafanyiwe maombi.
 

Huu ushauri wako wa majini nina hofu nao..
 
mi sijaelewa hapo kwenye kucalculate date unaandikaje?pls help me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…