nenda hospitali haraka ndugu, kwa ninavyofahamu kwa mwanamke aliyekamilika lazima anase. Hivyo nahisi kuna mahali kutakua na mushkeli labda katika vichocheo au kisaikolojia.
Practically proved! Kufanya mapenzi kila siku kunasababisha kutokutunga kwa mimba kwa sababu mbegu hazipati muda wa kutosha wa kukomaa.uwezekano wa kutopata mimba ni mkubwa kama tendo litafanywa kila siku. wataalamu wa maswala ya afya wanashauri kama wawili wanataka kupata mtoto inashauriwa wasifanye kwa muda wa juma moja kabla ya siku ya ovulation. hii itasaidia mbegu kukomaa na kutengenezwa mbegu kwa kiasi kinachohitajika kusababisha mimba. kama tendo litafanywa kila siku, mwili hautapata muda wa kutengeneza mbegu kwa kiasi kinachohitajika na kukomaa
uwezekano wa kutopata mimba ni mkubwa kama tendo litafanywa kila siku. wataalamu wa maswala ya afya wanashauri kama wawili wanataka kupata mtoto inashauriwa wasifanye kwa muda wa juma moja kabla ya siku ya ovulation. hii itasaidia mbegu kukomaa na kutengenezwa mbegu kwa kiasi kinachohitajika kusababisha mimba. kama tendo litafanywa kila siku, mwili hautapata muda wa kutengeneza mbegu kwa kiasi kinachohitajika na kukomaa
Na mwanamke akishakamilika anajitia mamba eeh?
So mediocre!
Mshauri eye na mwenza wake kwenda hospitali
Kuna uwezekano wa kizazi kusogea nyuma kutokana na kusukumwa na penis kutokana na mshindo wa kila siku,pili Mwanamme anayefanya naye mapenzi ana Penis ndefu hivyo kusukuma kizazi nyuma,tatu mwanamke alianza kitendo cha kufanya mapenzi akiwa mdogo kiumri na kimaumbile,nne mwanamke amewahi kutoa mimba hivyo kuondoa kizazi au kuharibu mfuko wa kizazi,tano matumizi ya madawa na vipodozi vilivyopigwa marufuku vyenye athari na kizazi,sita mwanamke kuathirika kisaikologia kuwa yeye ni mgumba.saba kula vyakula vinavyosababisha kutokuwa na uwezekano wa mimba kutungwa.uwezekano wa kutopata mimba ni mkubwa kama tendo litafanywa kila siku. wataalamu wa maswala ya afya wanashauri kama wawili wanataka kupata mtoto inashauriwa wasifanye kwa muda wa juma moja kabla ya siku ya ovulation. hii itasaidia mbegu kukomaa na kutengenezwa mbegu kwa kiasi kinachohitajika kusababisha mimba. kama tendo litafanywa kila siku, mwili hautapata muda wa kutengeneza mbegu kwa kiasi kinachohitajika na kukomaa
Mbegu hazina nguvu
mayai mabovu kwa mmoja wawapo
nenda hospitali haraka ndugu, kwa ninavyofahamu kwa mwanamke aliyekamilika lazima anase. Hivyo nahisi kuna mahali kutakua na mushkeli labda katika vichocheo au kisaikolojia.
Jamani habari zenu wanajamvini, hivi inawezekana mtu akafanya mapenzi kila siku na hasipate mimba, kama ndio ni sababu zipi zinafanya iwe hivyo,