Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Jibu rahisi mbona
......
Mgumba huyo.Akacheki hospitali!
 
nenda hospitali haraka ndugu, kwa ninavyofahamu kwa mwanamke aliyekamilika lazima anase. Hivyo nahisi kuna mahali kutakua na mushkeli labda katika vichocheo au kisaikolojia.
 
Na mwanamke akishakamilika anajitia mamba eeh?
So mediocre!
Mshauri eye na mwenza wake kwenda hospitali
 
uwezekano wa kutopata mimba ni mkubwa kama tendo litafanywa kila siku. wataalamu wa maswala ya afya wanashauri kama wawili wanataka kupata mtoto inashauriwa wasifanye kwa muda wa juma moja kabla ya siku ya ovulation. hii itasaidia mbegu kukomaa na kutengenezwa mbegu kwa kiasi kinachohitajika kusababisha mimba. kama tendo litafanywa kila siku, mwili hautapata muda wa kutengeneza mbegu kwa kiasi kinachohitajika na kukomaa
 
Practically proved! Kufanya mapenzi kila siku kunasababisha kutokutunga kwa mimba kwa sababu mbegu hazipati muda wa kutosha wa kukomaa.
 
uwezekano wa kutopata mimba ni mkubwa kama tendo litafanywa kila siku. wataalamu wa maswala ya afya wanashauri kama wawili wanataka kupata mtoto inashauriwa wasifanye kwa muda wa juma moja kabla ya siku ya ovulation. hii itasaidia mbegu kukomaa na kutengenezwa mbegu kwa kiasi kinachohitajika kusababisha mimba. kama tendo litafanywa kila siku, mwili hautapata muda wa kutengeneza mbegu kwa kiasi kinachohitajika na kukomaa

hapati mimba kwasababu anafanya kila siku, inatakiwa wapumzike japo siku tatu kabla hajakutana na mwenzake!
 
Utafiti wa kitabibu unaonyesha asilimia zaidi ya 40 ya wanaume hawana uwezo wa kumpa mwanamke mimba!Tafakari, chukua hatua!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na mwanamke akishakamilika anajitia mamba eeh?
So mediocre!
Mshauri eye na mwenza wake kwenda hospitali

nimemjibu kulingana na swali, hajaainisha huyo bi dada kashiriki na watu wangapi zaidi ya kutaja frequency ya ku-have sex, vilevile wasiwasi wake kauelekeza upande mmoja, anyway ulicho mention pia ni msaada...pamoja!
 
uwezekano wa kutopata mimba ni mkubwa kama tendo litafanywa kila siku. wataalamu wa maswala ya afya wanashauri kama wawili wanataka kupata mtoto inashauriwa wasifanye kwa muda wa juma moja kabla ya siku ya ovulation. hii itasaidia mbegu kukomaa na kutengenezwa mbegu kwa kiasi kinachohitajika kusababisha mimba. kama tendo litafanywa kila siku, mwili hautapata muda wa kutengeneza mbegu kwa kiasi kinachohitajika na kukomaa
Kuna uwezekano wa kizazi kusogea nyuma kutokana na kusukumwa na penis kutokana na mshindo wa kila siku,pili Mwanamme anayefanya naye mapenzi ana Penis ndefu hivyo kusukuma kizazi nyuma,tatu mwanamke alianza kitendo cha kufanya mapenzi akiwa mdogo kiumri na kimaumbile,nne mwanamke amewahi kutoa mimba hivyo kuondoa kizazi au kuharibu mfuko wa kizazi,tano matumizi ya madawa na vipodozi vilivyopigwa marufuku vyenye athari na kizazi,sita mwanamke kuathirika kisaikologia kuwa yeye ni mgumba.saba kula vyakula vinavyosababisha kutokuwa na uwezekano wa mimba kutungwa.
suluhisho
moja,mwanamke na mumewe wahudhurie kliniki kupewa ushauri wa uzazi,pili mwanamke kusafishwa kizazi na kukiweka sawa kupokea kama kimesogea au kimekaa mrama,tatu kama mwanamme ana maumbile marefu avikwe pete ya kuzuia,nne mwanamke apumzike kufanya tendo la ndoa takriban miezi 6,na aache matumizi ya vipodozi,tano baada ya mapumziko mwanamke afanye tendo la ndoa mara i au 2 kwa wiki,suluhisho litapatikana
 
Pole sana kwa tatizo jaribu kuongea na mwanamke kuhusu historia yake kama amewahi kutoa mimba, au kutumia dawa za kupanga uzazi. Baada ya hapo muende kliniki kwa ushauri zaidi. Na mtakapo fika cliniki mutoe ukweli kuhusu historia zenu ili mpate kupewa msaada sahihi
 
Jamani habari zenu wanajamvini, hivi inawezekana mtu akafanya mapenzi kila siku na hasipate mimba, kama ndio ni sababu zipi zinafanya iwe hivyo,

inawezekana mke au mume ana matatizo ya uzazi, hivyo wote waende hospitali
 
Mkubwa usijivunge,tafuta mwanaume aliekamilika akuwekee mimba
 
pia nawashauri wamuone daktari kwa ushauri zaidi na pia kupata vipimo zaidi
 
wana-JF naomba kufahamu ni siku zipi katika mwezi ambazo mwanamke anaweza kushika mimba
 
Kama anazunguka siku 28 kwa mwezi, basi siku ya 14 ndiyo siku haswa ya kupata ujauzito, ila inaweza kuwa siku ya 12, 13, 14 15 16. Hizi siku tano (5) kwake itakuwa ni siku za hatari.
 
Back
Top Bottom