Teh teh,watoto si wanachumba chao?AU chumba kimoja na watoto?
Ni wakat gan muafaka kujivinjari na mkeo na mambo yakawa swadakta?
kwasatail ya swali alilouliza mkuu hapa napata hisia kwamba elimu ya jando inapaswa irudi manake tunakoelekea mtu atakwenda kuoga aingie kitandani watoto wameshalala, na mke yuko tayari lakini bado aje atuulize anaingiaje kwa mkewe.

hivi mkuu yaani kweli ulipewa mke pasi kujua ni wakati gani wa kudo nae ama unatutania? kama ndio na mnawatoto basi ninashaka na wanao sio wako umebambikiziwa aisee. huwez kuwa hujui wakati wa kudo halafu eti una mke na watoto.
mambo kama yapi.....hebu fafanua.......
kwasatail ya swali alilouliza mkuu hapa napata hisia kwamba elimu ya jando inapaswa irudi manake tunakoelekea mtu atakwenda kuoga aingie kitandani watoto wameshalala, na mke yuko tayari lakini bado aje atuulize anaingiaje kwa mkewe.
wakati unapotoka kuoga na kuingia kitandani ukiwa uchi.
mitoto ya siku hizi unaijua vizuri?
Ni wakat gan muafaka kujivinjari na mkeo/mmeo na mambo yakawa swadakta?
hivi mkuu yaani kweli ulipewa mke pasi kujua ni wakati gani wa kudo nae ama unatutania? kama ndio na mnawatoto basi ninashaka na wanao sio wako umebambikiziwa aisee. huwez kuwa hujui wakati wa kudo halafu eti una mke na watoto.
Pale mahitaji yatakapojitokeza!