Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Ngoja nikutafutie kalenda moja hivi,hiyo ni kila kitu,hakuna x wala y.
ukiamua wa kike poa kiume poa tu.
 
Habari JF Doctors
Ninatatizo la mba ( utangotango) mgongoni zinanisumbua zinajirudia rudia, nimesha meza dawa za vidonge za mwezi mzima, Je Kunadawa ya kupaka kuondoa hii kitu ,inanipashida hata kuvaa nguo za wazi.
 
Kuna wengine wanakaa miezi
miwili no bleeding mara baada ya
mwezi mmoja,cku zingine anakaa
hata 6 month napia wengine
hutokwa na damu nyingi sana
mpaka kufikia kuanguka na
kuzimia na kupata maumivu
makali sana ya tumbo hii nayo
ikoje Kungurumweupe ...

Kuna wengine hubleed 4 more
than 14 days with heavy bleed ...
 
ni kuanzia siku ya 10 kuanzia siku ile mdada anapoanza period kama ameanza tar 01 basi tar 10 ni wakati mzuri zaidi kuanza mchakato, inasemekana manii yene Afya ina uwezo wa kuishi hadi masaa 72. na mimba hutungwa katika mrija ambapo by tar 14 yai linapoanza safari linakuta tayari manii ipo . kwa wenye ndoa ni budi kuwa makini kipindi hicho kwani mimba is not a matter of having sex is a matter of preparation too
 
Je n kwel iwapo utatoka kufanya mapenz na mwanamke ukampa maji barid muda huo huo n vgum kpata mimba ht km n cku ya mimba kwakua et maji hayo huenda kupoza had mbegu za kiume ktk uke? naomba kufahamishwa!
 

Umenea kabisaaa
 
ata hivyo mi nilikuelewa coz nimefatilia toka mwanzo majibu yako ni makosa madogo madogo sana.
 
Jamani wadau msaada wenu tafadhali.
Mpenzi wangu ana mzunguko wa siku 28, alianza bleeding january 17--19.
Nikakutana (dry) naye february 3.
Je uwezekano wa kupata mimba ukoje hapa hasa ukizingatia jana 13 na leo 14 hajaona bleed yake..!!!
 
Jamani wadau msaada wenu tafadhali.
Mpenzi wangu ana mzunguko wa siku 28, alianza bleeding january 17--19.
Nikakutana (dry) naye february 3.
Je uwezekano wa kupata mimba ukoje hapa hasa ukizingatia jana 13 na leo 14 hajaona bleed yake..!!!
Chitemo imekula kwako
 
Last edited by a moderator:
Umeolewa?. Au unataka kutuongezea watoto wasio na matunzo/makuzi ya wazazi wote wawili.
 
Nataka kujua siku za yai kupevuka nimeolewa ndio nataka kuzaa sasa siku za hatari kutokana na mzunguko wangu
 
jieleze vizuri. Mizunguko tu haitoshi sie wengine bila hata kujua miduara yako tunapiga mimba tu. sema availability yako tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…