Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiyo imekufaa?Naomben mnisaidie kutafuta ile topiki ilowahi kuelekeza jins yakupata mtoto wakiume au wakike kuna jamaa kaniganda kweli. Hata use name ilotumika kwenye topick ile.
mkuu hiyo imekufaa?
Mkuu Verily Verily,
Naomba nisisitize kwamba, utaratibu wa counting 15 days back ni sahihi na umesaidia wanawake wengi. Halafu suala la mwanamke kuwa na multiple cycles hali-aply kwa wanawake wote! Wengi wana cycle moja au mbili ambazo zaweza ku-fluctuate kidogo kutokana na internal or external forces lakini badae hu-resume their normal lengths!
Kwa mfano: Kama itatokea akili au mwili wa mwanamke utapata big changes within a short time, mathalani kuongezeka au kupungua uzito kwa kiasi kikubwa kwa muda mfupi, basi cycle pia yaweza badilika lakini badiliko hili huwa siyo permanent! Hizi ni fluctuations tu za muda mfupi lakini baadaye cycle hu-resume its normal length!
TWINS:
Twins wako wa aina mbili nazo ni:
1. Fraternal twins:
Hawa hutokana na multiple ovulation. Multiple ovulation ni uwezo wa ovaries za mwanamke kutoa mayai mengi ndani ya cycle moja, na maranyingi huwa ni mayai mawili (double ovulation) lakini yote ni lazima yatoke ndani ya siku moja (yaani ndani ya masaa 24)!
Kama itatokea mayai haya mawili ya double ovulation yakarutubishwa na mbegu mbili za kiume (Y & Y), basi mapacha watakaozaliwa watakuwa na jinsia ya kiume lakini hawatafanana kwa sura!
Kama mbegu zote mbili zilizorutubisha ni za kike (X & X) basi mapacha watakuwa wakike lakini hawafanani kwa sura!
Kama X na Y kila moja itarutubisha yai moja basi mapacha watakuwa wa kike na wa kiume wasiofanana kwa sura!
NOTE: Multiple ovulation is an inherent character, hivo si kila mwanamke anaweza kupata multiple ovulation au mapacha!
2. Identical Twins:
Hawa ni mapacha wanaopatika tu pale inapotokea yai moja likarutubishwa na mbegu moja (X or Y), halafu yai hili likalazimika kugawika katika vipande viwili vilivyo sawa kutokana na internal forces! Mapacha hawa lazima wawe na jinsia moja na lazima wawe na sura zinazofanana! Na hawa ndio niliowahi kuwaongelea katika posts zangu zilizopita! They have nothing to do with natural inheritance!
Swali: Je kuna uwezekano wa kupata mapacha wa aina zote mbili (Fraternal & identical twins) kwa wakati mmoja?
Jibu: Ndiyo!
How??!!
Kwa mfano: Kama itatokea mwanamke akawa na double ovulation (2 eggs) harafu mayai haya 2 yakarutubishwa na mbegu mathalani 2 za kike ( X & X), halafu hapohapo ikatokea yai moja kati ya hayo likagawika katika vipande viwili kutokana na idadi ya chromosomes zilizozidi kiwango kinachotakiwa, basi mwanamke huyu atajifungua mapacha watatu wa kike ambapo wawili watafanana kwa sura na mmoja atakuwa na sura tofauti na wenzake japo wote watatu watakuwa na jinsia moja ya kike! However, the probability of this happening is very small!
tar16 march,mzunguko cku 30,au 31
unatumia kipimo gani mkuu????
Ainisha tafadhali....
it depends
nkifukuzwa kazi kama last time naweza pitisha hata miezi mitatu bila kuona hizo siku
zebedayo mchuzi# tarehe ya mwisho ili kuwa 14 mwezi 11 mwaka 2013 tareh nilio kutanae ni 27/11/2013 na mzunguko wake ni 28-30
zebedayo mchuzi# tarehe ya mwisho ili kuwa 14 mwezi 11 mwaka 2013 tareh nilio kutanae ni 27/11/2013 na mzunguko wake ni 28-30