the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 355
Ngoja nikutafutie kalenda moja hivi,hiyo ni kila kitu,hakuna x wala y.
ukiamua wa kike poa kiume poa tu.
ukiamua wa kike poa kiume poa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello, mimi huwa nakaa sana vijiweni saa zangu za mapumziko baada ya kazi, na mara nyingi huwa naongea issues nyingi sana na washikaji. Na kama kuna issue ambayo nimeona imeleta ubishani sana, huwa nakuja kuileta huku.
Tulikuwa tukijadili jambo moja hivi, kwaba, ni lini mwamke anaweza akapata mimba? Mimi kwa uelewa wangu niliwaambia ni siku ya kumi na tatu au kumi na nne after menstrocycle. Wengi walibisha, pamoja na kwamba hizo ndo prabable days za ku conceive. Wengi wanasema hata siku nyingine zinaweza, ila mimi kulingana na uelewa wangu, nilikuwa naelewa hivyo kwasababu watoto niliopata sijui kama nilifanya hizo siku au la, nilikuwa nadukua tu mara kwa mara mwezi mzima.
Walinibana swali moja kwamba, unaanza kuhesabu lini, yaani utaanzia siku gani kuhesabu hadi zifikie siku hizo hapo juu, unaanza kuhesabu siku ya kwanza ya bleed ndo siku ya kwanza au siku ya mwisho wa bleed ndo siku unayoanza kuhesabu? Mimi niliwaambia ni siku ya kwanza unapoanza kubleed.
Naomba kama kuna madaktari humu watoe elimu hapa kwasababu najua watu wengi wataelimika hapa, na wengi wanaweza kuepuka hata mimba zisizo na malengo.
ata hivyo mi nilikuelewa coz nimefatilia toka mwanzo majibu yako ni makosa madogo madogo sana.Wakuu,
Kwanza napenda nimsahukuru sana Mkuu Nziku kwa kuona kosa moja nililolifanya bila kutarajia wakati najibu swali la: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE?
Napenda niseme kwamba, what I did was just a human error! Sikukusudia na wala sikutarajia kufanya hilo kosa. Hilo jibu ni sahihi kwa mwanamke ambaye menstration cycle yake ni siku 15. Tafadhali fuatilia majibu ya mapya hapa chini:
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE?
Jibu sahihi: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume siku 3 kabla ya siku ile ya mimba (siku 3 kabla ya fertile day)!
Nakubaliana nawe, khaaaaa!mmh,utakua ustaadh!
Chitemo imekula kwakoJamani wadau msaada wenu tafadhali.
Mpenzi wangu ana mzunguko wa siku 28, alianza bleeding january 17--19.
Nikakutana (dry) naye february 3.
Je uwezekano wa kupata mimba ukoje hapa hasa ukizingatia jana 13 na leo 14 hajaona bleed yake..!!!
c.c MziziMkavu, watu8, BujibujiHabari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32
na mikono?Habari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32