Nataka kujua siku za yai kupevuka nimeolewa ndio nataka kuzaa sasa siku za hatari kutokana na mzunguko wangu
Kwani mume wako hana muda wa kutombana na wewe kila siku?
Afanye ngono kila siku kwa mwaka mzima. Lazima ashike hiyo mimbaJamani tuweni wastaarabu. Kama huna Jibu la kusaidia unakaa kimya. Mtu kauliza na ameeleweka wengine mnaandika utani, na kejeli.....Mimi mwaya sijui lolote
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
msikutane siku za hatari, kutaneni zile siku za Neema.Nataka kujua siku za yai kupevuka nimeolewa ndio nataka kuzaa sasa siku za hatari kutokana na mzunguko wangu
Habari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32
Mambo mengine hayataki masihara, WATU8, kwa roho safi kabisa, nyeupe Kama karatasi ya photocopy saidia Huyu dada kitabibu zaidi apate ujauzito(sio mimba), we need another genius in our country.
kuna thread nyingi mkuu zinaelezea ,ila pia google unaweza pata. Goodlucky.
sijakuelewa mkuu...is that the adress?Ni kweli,kwa msaada zaidi google Jamiiforums.tarehe ya kushika mimba.com