Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Jamani tuweni wastaarabu. Kama huna Jibu la kusaidia unakaa kimya. Mtu kauliza na ameeleweka wengine mnaandika utani, na kejeli.....Mimi mwaya sijui lolote

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Msaidieni huyo Angekuwa hajaolewa mimi ningemsaidia... Mshedede kila siku hadi kitu kitinge
 
Mabinti wengi waliotoa mimba wakati wanabarehe kazi wanapata wanapoolewa Mimba hazishiki kumbe walishaharibu vizazi
 
Jaribu kufanya mapenzi na mumeo kuanzia siku ya 11-15 mara tu ulipomaliza bleed yako.
Au jaribu kusearch topic "TAREHE/SIKU YA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA" hii topic ilijadiliwa kwa mapana sana hapa ukumbini.
Moreover niPM email yako nikutumie hizo hints.
 
Nataka kujua siku za yai kupevuka nimeolewa ndio nataka kuzaa sasa siku za hatari kutokana na mzunguko wangu

Habari yako,
Siku ya hatari 'ovulation' huangukia siku ya 14 kabla ya siku ya mwisho wa mzunguko.

Kama wewe unaenda mzunguko wa siku 28, basi most likely ovulation itakuwa siku ya 28 kutoa 14 = 14.

Kwa maelezo zaidi soma hii thread hapa chini...fuatilia posts zangu:

Tarehe ya kupata mimba
 
Kufichana,fichana ama kuweka mambo upande upande kama kuna watoto wadogo mimi sielewi kabisa hapa,hivi wewe mdada huna marafiki ama wazazi wa kukufundisha hivi vitu?ama ulikimbilia ndoa tu bila kujua siku zako?
 
Jamani tuweni wastaarabu. Kama huna Jibu la kusaidia unakaa kimya. Mtu kauliza na ameeleweka wengine mnaandika utani, na kejeli.....Mimi mwaya sijui lolote

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Afanye ngono kila siku kwa mwaka mzima. Lazima ashike hiyo mimba
 
Danger day ni siku ya 14 kabla ya tarehe unayotazamia kuanza hedhi ya mzunguko wako ujao.

Kwa mfano katika kalenda yako ile ndogo ambayo natumai unayo na umeiweka hapo chini ya mto wako inakuonyesha mzunguko wako utaanza tarehe 24/09, danger day ni siku ya 14 kabla ya hiyo tarehe, kwa hiyo unahesabu kuanzia tarehe hiyo 24(mfano) kurudi nyuma na itaangukia tarehe 10/09. Siku hii ukipanda mbegu tarajia mavuno kwa kiwango kikubwa dada yangu.

Ili uwe na wigo mpana zaidi wa mavuno na kutoruhusu mbegu yako kuangukia kwenye mwamba au miiba wataalamu wanasema unafanya (+/-)2. Yaani kwenye tarehe yako ile 10/09 unapanua wigo siku mbili kurudi nyuma hadi 08 na siku mbili mbele hadi 12. Kwa hiyo kwa ufanisi zaidi unashauriwa kupanda kuanzia trh 08 hadi 12. Nakutakia kila la heri princessita, usisahau kuleta mrejesho ukifanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Mambo mengine hayataki masihara, WATU8, kwa roho safi kabisa, nyeupe Kama karatasi ya photocopy saidia Huyu dada kitabibu zaidi apate ujauzito(sio mimba), we need another genius in our country.
 
Subiri pale inapotoka nyingi hapo hapo mwambie jamaa, ni ngumu lakini jitahidi halafu nipe jibu
 
Post yangu ya maelekezo ipo hapo juu mkuu...nadhani imebakia yeye tu kusoma na kutueleza kama kaelewa...

Mambo mengine hayataki masihara, WATU8, kwa roho safi kabisa, nyeupe Kama karatasi ya photocopy saidia Huyu dada kitabibu zaidi apate ujauzito(sio mimba), we need another genius in our country.
 
Ukiona leo ndo umemaliza kubleed, hesabu siku kumi, usiku wake mpe mme wako kitu. Vizuri umshauri asipige nje mpaka siku hiyo na wewe pia siku za katikati baada ya kumaliza kubleed usipigwepiwe za faster faster. kula vizuri siku za kusubiria mechi. Afya kwanza kabla ya kushika mimba pima maleria, taifodi, UTI, gono, minyoo nk
 
baada ya menstruation, kuanzia siku ya 10 hadi 16 mwambie mmeo akupige kavu kila siku usiposhika mimba jaribu mwezi unaofata
 
kuna thread nyingi mkuu zinaelezea ,ila pia google unaweza pata. Goodlucky.
 
Naomben mnisaidie kutafuta ile topiki ilowahi kuelekeza jins yakupata mtoto wakiume au wakike kuna jamaa kaniganda kweli. Hata use name ilotumika kwenye topick ile.
 
Back
Top Bottom