Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...I can do it! ...thought ni kawaida, kumbe ni 'hitilafu'?
I wish...
...Penny mydear, sumtime you've to be careful what you wish for! 🙂
Wala usiwe na wasiwasi ndugu yangu,uwe na siku 22 au siku 32 wewe hesabu tu kuanzia siku unayopata bleed yako mpaka siku ya 14 km kawaida......
Acha kupotosha wewe, eboooo.
Wakuu mbona kimya!? Au hamjafanya experiments zenu?! Does it work for u?!
Ya kwako ulipata lini?
Mkuu, nikurudishe nyuma kidogo. Kuna 'specific' time ya kujivinjari na ma-msapu ile siku ya mimba (15th day) ambapo yai linakuwa limefika sehemu barabara au mnaweza kulianzisha tangu asubuhi ya siku hiyo, mchana na usiku wooote! ...ili kuwa katika 'safe side'?
Sorry mkuu, wengine tuliimwaga biology tangu form two!