Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Jamani huo ndo ukweli nahitaji mtoto napenda sana kuitwa mamz ko mwenye uelewa juu ya hili...msaaada tafadhali kusu umri so tatizo.
 
Dah kwa siku zinazobadilika sina utaalamu kwa kweli.
 
Sina nia ya kumtega mpenzi wangu ila nia yangu ni mtoto ko kama una ujuz changia chochote.
 
bado wapo, wanabebeshwa mimba na boys!
 
Nina malengo ya kuwa na mtoto na kuitwa mamma
Nadhani kuna linalokusibu tafakari hapa chini:-



Jamani habarini...hali ya matiti kutoa majimaji kama maziwa husababishwa na nini na tiba yake ni nini??

Jamani polen na shughul za kila siku...kwa anayejua au kwa mwenye utaalamu juu ya tiba au dawa ya kuzuia na kutibu miscariage...msaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaada!!!
 

Naomba kuuliza mkuu inakuaje kwa wale wanao ingia bleed bila mpanglio yan endapo ataifkiria san au kuona dam yoyte hat ya kuku au akiskia tu story za kuhus bleed apo apo na yeye anaingia kwa hawa watu imekaaje
 
Issue ya miscariage,kutokwa maziwa kwenye matiti na kuhusu mirathi haziniusu...kinachonihusu ni kuhusu kutokwa na uchafu uken na kuhusu kupata mtoto dats all and not others as i posted.
 
Habari wakuu:

Nisaidieni, nilifanya tendo la ndoa na mume wangu siku ya hatari ilikua tarehe 1 / 11, Je nipime baada ya muda gani kujua kama nimenasa?
 
ngoja wataalamu waje but mimi navyojua ndani ya wiki 1 mimba unaweza kucheki. tuwasubiri wataalamu
 
Je km mzazi (aliyezaa km miezi michache iliyopita) haingii kabisa mwezini.......uwezekano wa kubeba mimba ukoje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…