Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Daaaa!mwz huu sijaona kabisa na nimejaribu kuchukuwa vipimo vya pregnat inasoma negative
 
Daaaa!mwz huu sijaona kabisa na nimejaribu kuchukuwa vipimo vya pregnat inasoma negative

je unakumbuka mwez wa pili uliingia tarehe ngapi?? maana ni lazima tupate tarehe za mwanzo ulizoanza kubleed katika mizunguko yako miwili inayofuatana.
 
Jee Kwa wale ambao tarehe zao Za hedhi zinabadilika yaan hazina tarehe maalumu lakin akienda ni siku mbili atatumia calendar ilele ya siku 22?

hata kama zinabadilika kiasi gani hesabu kuanzia tarehe ya kwanza uliyoanza kublid mwez watatu hadi tarehe ya kwanza uliyoanza kublid mwezi wa nne utapata kujua mzunguko wako na ndo itakusaidia kujua kalenda ipi unatakiwa utumie
 
Naomba unisaidie kungurumweupe. Mfano nimeingua tarehe 20 asubuhi, nikamaliza tarehe 24 usiku. Hapo nahesabu vipi ili niweze kubeba mimba?
 
Naomba unisaidie kungurumweupe. Mfano nimeingua tarehe 20 asubuhi, nikamaliza tarehe 24 usiku. Hapo nahesabu vipi ili niweze kubeba mimba?

piga mechi ndani ya tarehe 2 mpaka 10 ya mwezi unaofuata.
 
nina swali moja tu. kuna mwanamke ananiambia anapata siku zake wakati ni mjamzito. Je inawezekana kupata hedhi wakati una mimba?
 
Kuna watu wanasifa humu halafu watu wazima na midevu kama stil waya mwenzetu anaomba ushaur nyie mnaleta masihara mfyuuuuu zenu
 

Mkuu kuzibuliwa mirija kuna madhara? Njia gani sahihi ya kuzibua mirija au kuna dawa mkuu nisaidie
Nahitaji mtot kwa sas tatzo ni mirija kuziba
 
helo Jf Dr, tuseme mtu ana mzunguko wa ck 28, then uka Do ck ya 21-24, kuna possibility ya kupata ujauzito?
 
Hilo jina lako linaonesha wewe ni toto tundu, ina maana CONDOM huwa hautumii? Kuna maradhi pia mbali na mimba as mimba utatoa na ukimwi je?
 
Kungurumweupe nashukuru kwa somo maana nlikuwa natafta sana cku ya ovulation.mwezi huu ntajaribu kuangalia km itakuwa kweli kadri nlivyohesabu.jambo lingine ambalo nataka nijue ni cku ngapi nisilale na mke wangu kusudi asipate mimba nliskia huwa kuna siku 8 ambazo ni hatarisana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…