Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Mwombe mungu na amin utapata mtoto ,Lakin unapokuwa unafanya inatakiwa ufurahie kitendo si kwa7b tu unatafuta mototo, pia mume wako anatakiwa hiyo siku ya hatari(mimba) asiwe amechoka ajiandae vizuri siku zote za hatari(mimba ) umeelewa Dada lufuo
 
Pole, kutunga kwa Mimba kama hakuna matatizo mengine ya kiafya na mzunguko wako wa siku upo vizuri na unaujua ni rahisi. Kwanza wote muwe tayari kwa tendo na mlifurahie. Pili hesabu siku kuanzia siku uliyoingia mpaka siku ya 12 ndo muanze manjonjo yenu. Kati ya siku ya 12 mpaka ya 16 mimba inaweza kupatikana ( hasa kilele huwa siku ya 14). Msifanye kwa pupa tuu au muwe nahofuu hapo mnaweza chemuka, mnatakiwa muwe relaxed.

Ushauri kwa wengine wanandoa/wapenzi mkipenda kupanga uzazi wa mpango bila ya hofu ya kupata mimba bila kutarajia tumia mfumo wa 9:9:9.
Hesabu kuanzia siku ya kuingia hedhi mpaka siku ya 9, ni muda wa utulivu, japo hii mnaweza kujinafasi muda wowote ikikoma hata siku ya 4 ila mwisho siku ya 9. Kuanzia siku ya 10 mpaka 18 (siku 9) ni kipindi cha hatari (umakini unahitajika, kama mtashindwa kuvumilia tumieni MPIRA). Kuanzia siku ya 19 mpaka 27 (siku 9) hata mkikesha mpo safe mpaka aone siku zake. Angalizo: Mtambuane vizuri na kuongea na mwenzi wako kwa uwazi
 
Kuna mtu alinishauri jambo zuri but ile msg siioni tena sijui aliituma kwa njia gani kama vipi naomba anitumie tena plzzz

Halafu ukiwa na stress au mshindo katika moyo pia yaweza kukukosesha mtoto. We relax kula tunda hata moja moja mwezi mzima ipo cku tu
 
Usijali tatizo lako ni dogo Mungu atakuonesha njia lakini nakushauri pata water therapy Lita 3 siku continuously utapata tuu
 
Last edited by a moderator:
hata picha huon???, anahangaika kuz kashatoa za kutosha xo mayai yamekwsha km jide,na hat akipat itatoka tu

Pole yako ndugu usiisemee nafsi ya mtu aijua yy mwenyewe na Mungu wake na usipende kushuhudia mambo ya uongo asante kwa mchango wako
 
Nawasalimu humu JF? Yapata miezi 5, najitahidi kumtafuta mtoto lakini hakuna kitu. Naombeni ushauri wenu jamani.
 
Miezi mitano bado ni muda mfupi wa kuwa na shaka, angalau ingepita miaka 2 ndio uanze kuwa na shaka. Hakikisha unakula vizuri wewe pamoja na mumeo na vilevile msiwe na msongo wa mawazo. kwa sasa relax kwenye ndoa na mumeo. AU Kuna kitu umetarget?
 
Nawasalimu humu JF? Yapata miezi 5 najitahidi kumtafuta mtoto lakini hakuna kitu. Naombeni ushauri wenu jamani.
Inategemea huyo mtoto unamtafutia wapi, kwahiyo tangu apotee ushatoa taarifa polisi au ndo unamtafuta kimya kimya, Je huyo mtoto unaemtafuta alipotea katika mazingira gani? Alafu huyo mtoto kama ana sura mbaya kama wewe utampata tu maana utakuta watu wamekaa wanamshangaa. ina maana na wewe una sura mbaya kama mzee wa gombe?
 
Last edited by a moderator:
Miezi mitano bado ni muda mfupi wa kuwa na shaka, angalau ingepita miaka 2 ndio uanze kuwa na shaka. Hakikisha unakula vizuri wewe pamoja na mumeo na vilevile msiwe na msongo wa mawazo. kwa sasa relax kwenye ndoa na mumeo. AU Kuna kitu umetarget?

Ahsantee kwa ushauri wako.
 
Inategemea huyo mtoto unamtafutia wapi, kwahiyo tangu apotee ushatoa taarifa polisi au ndo unamtafuta kimya kimya, Je huyo mtoto unaemtafuta alipotea katika mazingira gani? Alafu huyo mtoto kama ana sura mbaya kama wewe utampata tu maana utakuta watu wamekaa wanamshangaa. ina maana na wewe una sura mbaya kama mzee wa gombe?

Tanguliza maneno ya busara. Cna hakika kama tupo pamoja. Kama vipi nipotezee
 
Last edited by a moderator:
miezi mitani mbona muda mdogo sana huo?? watu wanakaa miaka na bado hawakati tama make sure huna tatizo linalokusibu stress ziepuke kula vizur pata muda wa kupumzika na baada ya hapo usisahau kuzaa ni majaaliwa.
 
Back
Top Bottom